Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanapigwa nyingi Mkuu washuke daraja tena kama kawaida yaoHii timu iko ligi kuu kwa ajili ya kuikamia simba tu
Hawa ilikiwezekana wapigwe hata sita
Hii timu endapo itashuka daraja itakuwa poa sana..!Mkuu.. ndicho tunaenda kukifanya hivi sasa.
Iende daraja la nne kabisa nawachukia sanaHii timu endapo itashuka daraja itakuwa poa sana..!
Kabisa mkuu... haiwezekani timu inadiel na mnyama tu miaka yoteIende daraja la nne kabisa nawachukia sana
hapa tuseme Mavugoal....Mnyama anazidi kutakata hapa.. Ni dk. 67.. Mavugo anaongeza la Pili.. Mpaka sasa.. Simba S.C 2-0 Totoo.
Mtani naona mambo sio mabaya leo[emoji1]Mnyama anazidi kutakata hapa.. Ni dk. 51.. Mavugo anaongeza la Pili.. Mpaka sasa.. Simba S.C 2-0 Totoo.