23.10.2016: Toto Africa Vs Simba S.C

Aisee....nmewasha TV hapa kuna Team nadhan toka nchi za wenzetu wanaoweza mpira wamevaa jezi nyekundu. Wanachezea mpira hasa....huu mchezo wa kupigiana pasi hiv mara ya mwsho walikuwa wanacheza Brazil miaka hiyo inaitwa samba style.
 
Haha... Hao jamaa ni gumzo kwa sasa katika ukanda huu wa CECAFA.. na wanaitwa Simba S.C.
 
sembo nashukuru. Naomba leo hii nipewe uanachama wa hii Timu inaitwa Simba. Aisee hii timu mara ya Tatu leo nawaona ni Timu ambayo inafaa kucheza ligi za Kimataifa nami leo RASMI NAJIUNGA NAYO. SEMBO niunge uanachama na pia kiapo cha uanachama. Sikuwa nashabikia team za ndani kwa miaka mingi sana. Leo naomba nisajiliwe Simba Sports Club.
 
Simba haimkopeshi mtu haina muda wa mkopo inatandika tu kwa mahesabu ya kwenda mbele. Simba Taifa Kubwa!
 
Nabishana na Jamaa yangu hapa Mzungu anakataa anasema hII simba siyo timu ya Kucheza tanzania.... anasema hii ni timu ya Taifa ya nchi za huko Mbali. nimemwambia ni tanzania anakataa kabisa anasema tanzania hawawez kuwa na timu kama hii. tumebishana mpaka amekasirika anasema mi namwona yeye Fala sababu hajui kiswahili kwa hiyo namdanganya. nimemwacha na hayo mawazo yake.

Haha... Hao jamaa ni gumzo kwa sasa katika ukanda huu wa CECAFA.. na wanaitwa Simba S.C.
 
Dk 90+ 4: Refa anapuliza kipyenga cha kumaliza mpira.
Matokeo ni kua.. Simba S.C imeendelea kutakata baada ya kuwadunga 3-0 Toto African.
 
Mkuu.. Muonyeshe Msimamo wa ligi kuu... Nadhani ndo ataamini.
 
Dk 90+ 4: Refa anapuliza kipyenga cha kumaliza mpira.
Matokeo ni kua.. Simba S.C imeendelea kutakata baada ya kuwadunga 3-0 Toto African.

Mkuu Leo Sikuuangalia Mpira! Hebu Nitajie Waliofunga Magoli..
 
Karibu sana Simba S.C kwa furaha ya milele.
 
Hii speed ya 4G mtoto imemshinda, lakini wasilaumiwe sana maana hata kaka zao walichemka

Safi mnyama mkali kuliko wote mwituni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…