Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha... Hao jamaa ni gumzo kwa sasa katika ukanda huu wa CECAFA.. na wanaitwa Simba S.C.Aisee....nmewasha TV hapa kuna Team nadhan toka nchi za wenzetu wanaoweza mpira wamevaa jezi nyekundu. Wanachezea mpira hasa....huu mchezo wa kupigiana pasi hiv mara ya mwsho walikuwa wanacheza Brazil miaka hiyo inaitwa samba style.
Haha... Hao jamaa ni gumzo kwa sasa katika ukanda huu wa CECAFA.. na wanaitwa Simba S.C.
Mkuu.. Muonyeshe Msimamo wa ligi kuu... Nadhani ndo ataamini.Nabishana na Jamaa yangu hapa Mzungu anakataa anasema hII simba siyo timu ya Kucheza tanzania.... anasema hii ni timu ya Taifa ya nchi za huko Mbali. nimemwambia ni tanzania anakataa kabisa anasema tanzania hawawez kuwa na timu kama hii. tumebishana mpaka amekasirika anasema mi namwona yeye Fala sababu hajui kiswahili kwa hiyo namdanganya. nimemwacha na hayo mawazo yake.
Dk 90+ 4: Refa anapuliza kipyenga cha kumaliza mpira.
Matokeo ni kua.. Simba S.C imeendelea kutakata baada ya kuwadunga 3-0 Toto African.
Karibu sana Simba S.C kwa furaha ya milele.sembo nashukuru. Naomba leo hii nipewe uanachama wa hii Timu inaitwa Simba. Aisee hii timu mara ya Tatu leo nawaona ni Timu ambayo inafaa kucheza ligi za Kimataifa nami leo RASMI NAJIUNGA NAYO. SEMBO niunge uanachama na pia kiapo cha uanachama. Sikuwa nashabikia team za ndani kwa miaka mingi sana. Leo naomba nisajiliwe Simba Sports Club.
Speed hii ya 4G itawatesa sana msimu huu.. Muhanga anayefuata ni.. Mwadui F.C, na hii itakua 29.10.2016 mkoani ShinyangaHii speed ya 4G mtoto imemshinda, lakini wasilaumiwe sana maana hata kaka zao walichemka
Safi mnyama mkali kuliko wote mwituni