Speed hii ya 4G inaleta maafa sana kwa( 3G Mkodisho FC ) na 2G toto africaSpeed hii ya 4G itawatesa sana msimu huu.. Muhanga anayefuata ni.. Mwadui F.C, na hii itakua 29.10.2016 mkoani Shinyanga
Mikia leo mtakalishwa huko jiji la miamba. Hilo Toto tundu atawafunga sharubu zenu kwenye miamba na kuwamwagia maji toka ziwani. Mtaloweshwa leo.
Leo mnavurugwa pale shamba la bibi
Kila ka kheri Toto Africans.
Timu yenye jina zuri linalotaja uafrika wetu.
Tupo pamoja mkuu. Ulete update sawia. Maombi yangu leo kwa toto africa ashinde moja bila au atoe draw. Ili christmass ikifika Yanga turudi kwenye nafasi yetu
Wakikujibu niambie.. washaingia chakaHabari zenu Wakuu?
[emoji125] [emoji125]Habari zenu Wakuu?
....teh hee hee..siku nyingine usilale n'dhuti juu ukidhani utamnyea mungu!Mkuu Simba leo ikishinda nakata mkono wangu wa kushoto
Teh teh....Sisi 3... Wao 0
Mkuu ndo naona post yako mda huu.. Ila leo ilikua ni zamu ya Mavugoal na Muzamiru Yasin.. Huyu Yasin katupia kambani 2.. Mavugoal katupia 1.
Aise. Hizi kelele zina mwisho wake lakini....
sembooi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]tumewakalisha!!Pole sana Brigedia.. Naamini hadi msimu huu uishe utakua umebakia na kiwiliwili tu.