Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
Speed hii ya 4G inaleta maafa sana kwa( 3G Mkodisho FC ) na 2G toto africaSpeed hii ya 4G itawatesa sana msimu huu.. Muhanga anayefuata ni.. Mwadui F.C, na hii itakua 29.10.2016 mkoani Shinyanga
Asante sana mnyama mkali kuliko wote mwituni..!