23.10.2016: Toto Africa Vs Simba S.C

23.10.2016: Toto Africa Vs Simba S.C

Mikia leo mtakalishwa huko jiji la miamba. Hilo Toto tundu atawafunga sharubu zenu kwenye miamba na kuwamwagia maji toka ziwani. Mtaloweshwa leo.

Leo mnavurugwa pale shamba la bibi

Kila ka kheri Toto Africans.
Timu yenye jina zuri linalotaja uafrika wetu.

Tupo pamoja mkuu. Ulete update sawia. Maombi yangu leo kwa toto africa ashinde moja bila au atoe draw. Ili christmass ikifika Yanga turudi kwenye nafasi yetu

Habari zenu Wakuu?
 
Msimu huu.. Ni full burudani.. Na hii ni baada ya goli la 3.

1477236657320.jpg
 
Mkuu Leo Sikuuangalia Mpira! Hebu Nitajie Waliofunga Magoli..
Mkuu ndo naona post yako mda huu.. Ila leo ilikua ni zamu ya Mavugoal na Muzamiru Yasin.. Huyu Yasin katupia kambani 2.. Mavugoal katupia 1.
 
Mkuu ndo naona post yako mda huu.. Ila leo ilikua ni zamu ya Mavugoal na Muzamiru Yasin.. Huyu Yasin katupia kambani 2.. Mavugoal katupia 1.

Safi Sana! Nasema Wazi Wazi Mbele Ya Wamadimbwini FC Kuwa Christmas Nasherehekea Ubingwa Bila Ya Wasiwasi...
 
Mkuu Sembo kama nilivyotabiri leo lazima tushinde tena kwa goli nyingi ndivyo ilivyotokea.Pongezi zikufikie kwa kuendeleza pass nyingi kabisa hapa jukwaani.Leo furaha imerudi hasa baada ya hujuma ya jana.Mungu ibariki Simba TAIFA KUBWA.
 
Back
Top Bottom