sembo
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 4,350
- 3,451
Leo nyasi za uwanja wa Uhuru zitawaka moto.. na hii ni pale Mnyama mkali pengine kuliko wote mwituni, Simba S.C atakapopambana na Toto Africa.
Uzuri wa gemu ya leo ni kua Simba S.C anaenda kuua wanyama wawili kwa 'windo' moja. Hii inaamaa anaenda kutafuna Baba na Mwana.. ambao ni Toto Africa na Yanga Yetu.
Rekodi za Simba S.C na huyu mtoto wa Yanga Yetu, katika VPL msimu huu.. zimeekaaje kaaje?
1. Toto Africa.
Kacheza: mechi 11.
Kashinda: mechi 2 tu.
Kagongwa: mechi 7.
Sare: mechi 2.
Kafunga Magoli: 5 tu.
Kafungwa Magoli: 11.
Nafasi katika ligi: Wa Mwisho [16]
2. Simba S.C
Kacheza: mechi 10 tu.
Kashinda: mechi 8.
Kafungwa: Hakuna [namaanisha mechi 0].
Sare: mechi 2 tu.
Kafunga Magoli: 18.
Kafungwa Magoli: 3 [kiuhalisia ni mawili tu, na hii ni baada ya kutoa goli hewa la Tambwe]
Nafasi katika ligi: Kama Kawaida [Namba 1]
.. na msimamo wa ligi mpaka sasa uko hivi.. [emoji116] [emoji116]
Kaa nami uweze kufahamu kila kitakachojiri katika uwanja wa Uhuru
UPDATES;
Dk 90+ 4: Refa anapuliza kipyenga cha kumaliza mpira.
Matokeo ni kua.. Simba S.C imeendelea kutakata baada ya kuwadunga 3-0 Toto African.
Wafungaji; Muzamiru Yassin [Goli 2] na Mavugoaaal