25/11/2023 Meli ya Israel yashambuliwa na drones za Iran

Houthi walishatangaza kabla kuwa meli yoyote inayojihusisha biashara na israel ikipita eneo hilo wanaiteka sasa ww aliekwambia mpk iwe meli ya serikali ya israel nani?
Mtumie akili meli ya Israel Ni ya serikali ya Israel au ya bilionea wa Israel? Mbona mnajikanyaga Sana?.
 
Houthis wana bahati wapo mbali sana toka Israel vinginevyo wangekuwa wanakipata laa sivyo Saudi aruhusu anga lake litumike
Mbali kivipi wakati ni majirani upande wa kusini mashariko mwa Israel?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…