25% ya nobel prize wameshinda Waisrael wakati dunia yote ni 75% tu! Hawa watu walichaguliwa na Mungu

25% ya nobel prize wameshinda Waisrael wakati dunia yote ni 75% tu! Hawa watu walichaguliwa na Mungu

Technophilic Pool

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2024
Posts
3,104
Reaction score
4,574
Hapa tunaongelea Ugunduzi na mchango wa technolojia zilizobadilisha maisha ya watu dunia.

Waisrael wapo milion 15 tu duniani katika dunia yenye watu Billion 8.

Lakini mchango wao kwenye hii dunia hasa wa uvumbuzi wa vitu na technolojia umekua n mkubwa kupitiliza….. kwa uchche wao ndio lakini wamechangia asilimia kubwa robo ya uvumbuzi wote duniani.

Shuka na hizi statistic
Kati ya award zote 609 kati yao ni waisrael 150!….

Hawa watu Mungu aliwabariki sana….
Naongelea intelligent HAYO mengine labda uje nayo ww

IMG_5285.jpeg
 
Kuna mgunduzi au mwanasayansi yeyote alikua muisraeli kabla ya miaka 150 nyuma? Hakuna.
Hawa wamekuja kujinyanyua karne ya 20 kwa umafia wa kudhibiti taasisi za kibenki zilizowapa mwanya kudhibiti siasa na taasisi za elimu na tafiti kwenye nchi za magharibi.
Huu umafia ndio unafanya wanachukiwa na wanapata vipigo kama waloyopata huku ujerumani.
 
View attachment 3322139
Nobel prize ni Tuzo ya waisrael kuna watu kibao wana michango mikubwa hawamo humo na kuna Madikteta kibao wenye damu za watu wameshinda.
 
Wayahudi wamepata mafanikio makubwa katika ugunduzi wa kisayansi na nyanja nyinginezo, jambo linaloonekana wazi kupitia idadi ya tuzo za Nobel walizoshinda. Kati ya watu 965 waliotunukiwa Tuzo ya Nobel kati ya mwaka 1901 na 2023, angalau 216 walikuwa Wayahudi au watu wenye asili ya Kiyahudi, wakichangia takriban 22% ya washindi wote wa tuzo hiyo, licha ya Wayahudi kuwakilisha chini ya 0.2% ya idadi ya watu duniani .

Mgawanyo wa Tuzo za Nobel kwa Wayahudi kwa Kategoria

Hadi mwaka 2023, Wayahudi wamepokea tuzo za Nobel katika nyanja mbalimbali kama ifuatavyo :

Fizikia: 56 (25% ya washindi wote)

Tiba/Fiziolojia: 60 (26%)

Kemia: 37 (19%)

Uchumi: 38 (41%)

Fasihi: 16 (13%)

Amani: 9 (8%)

Sababu za Mafanikio Haya

Mafanikio haya yanachangiwa na mambo kadhaa, ikiwa ni pamoja na:

Tamaduni ya Elimu: Tamaduni ya Kiyahudi imekuwa ikisisitiza umuhimu wa elimu na maarifa kwa muda mrefu.

Uwekezaji katika Tafiti: Wayahudi wengi wamewekeza katika tafiti za kisayansi na teknolojia, na hivyo kuchangia katika maendeleo ya sayansi.

Uhamiaji na Fursa: Uhamiaji wa Wayahudi kwenda nchi zenye fursa zaidi, kama vile Marekani na Israel, umewezesha upatikanaji wa rasilimali na mazingira bora ya utafiti.

Kwa mfano, Israel, licha ya kuwa na idadi ndogo ya watu, imekuwa na mchango mkubwa katika maendeleo ya sayansi na teknolojia, na hivyo kuchangia katika idadi ya washindi wa Tuzo ya Nobel kutoka kwa Wayahudi.

Kwa ujumla, mafanikio ya Wayahudi katika ugunduzi wa kisayansi na nyanja nyinginezo ni matokeo ya mchanganyiko wa tamaduni, elimu, na mazingira yanayowezesha ubunifu na utafiti.
 
Ila baba,babu,bibi na mama zenu Waafrika hawakuchagiliwa na Mungu,shit holes!!
 
Nobel prize ni Tuzo ya waisrael kuna watu kibao wana michango mikubwa hawamo humo na kuna Madikteta kibao wenye damu za watu wameshinda.
Maneno ya wakosaji sizitaki mbichi hizi hamkosagi sababu wafuasi wa mudi
Huoni hata aibu kuandika uwongo usio na any back up kuwa Nobel prize ni tuzo za waisrael aisee
 
Kuna mgunduzi au mwanasayansi yeyote alikua muisraeli kabla ya miaka 150 nyuma? Hakuna.
Hawa wamekuja kujinyanyua karne ya 20 kwa umafia wa kudhibiti taasisi za kibenki zilizowapa mwanya kudhibiti siasa na taasisi za elimu na tafiti kwenye nchi za magharibi.
Huu umafia ndio unafanya wanachukiwa na wanapata vipigo kama waloyopata huku ujerumani.
Kamsome myahudi mmoja akiitwa Yusufu enzi ya pharaos uone jinsi alivyoleta duniani maarifa yaliyopelekea kuzaliwa kwa wazo la kuwa na central banks na pension funds.Na hiyo ni miaka elfu kadhaa iliyopita. Wamisri ukiwauliza habari za myahudi akiitwa Yusufu ni nani watakuambia mabalaa yake.
 
Back
Top Bottom