fyande44
Member
- Mar 5, 2018
- 6
- 3
TEST
Maudhui:
Orange : Habari za asubuhi rafiki yangu mzee 'Mango'
Mango : Salama tu,umeamkaje, habari za tangu jana?
Orange: Mbaya tu, jana nilishinda njaa na hata leo sina uhakika wa kula...
Mango: Pole sana rafiki yangu, nitakupeleka kwa rafiki yangu mzee 'Lemon',alinidokeza nimsaidie kupata watu wa kumsaidia kuvuna mazao yake shambani, kwa ujira wa shilingi elfu tano kwa siku; nadhani kazi hiyo itakufaa....
Orange: Nashukuru sana rafiki yangu, hiyo kazi itanifaa hebu tufanye haraka asijeakapata mtu mwingine nami nikakosa kazi