2D animator anahitajika

2D animator anahitajika

TEST

Maudhui:
Orange : Habari za asubuhi rafiki yangu mzee 'Mango'
Mango : Salama tu,umeamkaje, habari za tangu jana?
Orange: Mbaya tu, jana nilishinda njaa na hata leo sina uhakika wa kula...
Mango: Pole sana rafiki yangu, nitakupeleka kwa rafiki yangu mzee 'Lemon',alinidokeza nimsaidie kupata watu wa kumsaidia kuvuna mazao yake shambani, kwa ujira wa shilingi elfu tano kwa siku; nadhani kazi hiyo itakufaa....
Orange: Nashukuru sana rafiki yangu, hiyo kazi itanifaa hebu tufanye haraka asijeakapata mtu mwingine nami nikakosa kazi

Screenshot_2024-07-24-02-12-35-95.png
 
  • Awe na uzoefu wa kutumia 'software' yoyote ya 2D kutengeneza video ya katuni
  • Awe na uwezo wa kutengeneza video ya masaa 10 kwa mwezi
  • Awe na elimu yoyote kuanzia darasa la saba
  • Malazi ni bure
  • Ataanza na mshahara wa Tsh. 500,000/=
  • Mwenye hizo sifa, tuwasiliane.
Mimi naweza 2d je uwakika nikikutengenezea
 
  • Awe na uzoefu wa kutumia 'software' yoyote ya 2D kutengeneza video ya katuni
  • Awe na uwezo wa kutengeneza video ya masaa 10 kwa mwezi
  • Awe na elimu yoyote kuanzia darasa la saba
  • Malazi ni bure
  • Ataanza na mshahara wa Tsh. 500,000/=
  • Mwenye hizo sifa, tuwasiliane.
Nikutumie umuhimu au itanipa namba yakutuma iyo katuni
 
Back
Top Bottom