Roca fella
JF-Expert Member
- May 13, 2023
- 2,077
- 4,152
Huyo Biggie kwa Pac alikuwa wakawaida.Huu ni upumbavu mwingine. Pac and biggie have been cited as as the greatest rappers of all time it means yupi ni bora kuliko mwenzake is arguably sasa kusema pac hawezi fananishwa na mwengine ni 'ujuha' mkubwa unless uwe hujui chochote kuhusu biggie.
Hawa ndio wasanii wawili pekee waliogawa mashabiki kwenye hip hop history ya USA, so no matter una mahaba kiasi gani kwa pac au westside but never disrespect biggie.
Hakuna anayeshushiwa heshima hapo,ila kwenye wawili ni lazima mmoja awe zaidi ya mwingine.you damn right dawg! And lets agree to disagree kila mtu anatest yake. Flow za biggie na ile flavor, good music ndio wengine tumependa, ujumbe ni issue subjective.
So nadhani acha hao jamaa wapewe heshima zao, ni ujuha kuona mtu anamdisrespect mmoja kisa alikuwa anamuelewa mwingine narudia tena kwa mpenzi wa 90s hip hop hawezi kuthubutu kuwadisrespect hao jamaa no matter what.
Kimuzi kwangu mimi Pac alikuwa mtu mbadi.Hoja yako ni nini? Kwa sababu Pac na Biggie huwa wanafananishwa kwa uwezo wao kimuziki. Sio walikulia wapi na kulelewa vipi. Anyway, lets break down your points.
1. Tupac was hood, Biggie was not.
-Huu ni upotoshaji. Biggie aliishi Bedford-Stuyvesant, Brooklyn au kama wenyewe wanavyoita Bed Stuy, huko sio ushuani, ni uswahilini kama Harlem ambako Pac aliishi kabla hajahamia Bartimore. So he was as much hood as Pac. Mama yake kuwa mwalimu hakufanyi awe wa kishua. As a matter of fact Biggie alifanya vitu vingi zaidi vya kihuni kuliko Pac mfano kuuza madawa ya kulevya n.k
2. Aina ya nyimbo walizoimba
-Umetaja nyimbo chache za Pac ambazo zina "ujumbe" na kudai kwamba Biggie nyimbo zake za Sky Is The Limit na Juicy ni stori za uongo. Hoja kwamba nyimbo za Biggie zilikuwa za uongo na za Pac ni za ukweli ni suala la perspective. Rappers wengi huwa ni story tellers, wanasimulia kinachotokea kwenye mazingira yao. Sio lazima iwe personal. Tafuta nyimbo nyingine za Biggie kama Ten Crack Commandments na Missing You usikilize, Biggie alikuwa master story teller. Umesema kwamba Biggie alikuwa anaimba nyimbo nyingi za ku-bragg, which is true lakini hujasema kwamba Pac naye ana nyimbo nyingi tu za kujisifu and other stuff that rappers usually talk about. Mfano ni I Get Around na Toss It Up.
3. Kusoma
-Kuna mahali umesema kwamba Biggie alisoma mpaka high school, which is true, lakini Pac kasoma mpaka college (Bartimore School of Arts).
Narudia tena, wasanii hawa wawili maarufu huwa wanafananishwa kimuziki kwa sababu ndio kitu ambacho ni common kwao. Ukitoka nje ya muziki hawa ni watu wawili tofauti kabisa.
Utamvuruga mwana mbaya.Skia bro.
Kuwafananisha ni MUST kwa kuwa kuna maslahi ya kibiashara kutokana na BIFU lao. Ili kupambiza mauzo na fedha lazima watokee watu wachache wafanye kampeni ya kuwalinganisha.
Ila kiuhalisia Tupac ni mtu mwingine kabisa... GOAT.
Kama unabisha hilo weka bangers za BIG mie najibu kwa BANGER la PAC. Fimbo kwa Fimbo.
Yah kiasi.. kuna Mjomba wangu mmoja amefariki kwa sasa. Yeye aliathirika na MADAWA ya kulevya, so enzi za uhai wake alikuwa anapiga sana ngoma za HIP HOP, na Reggae sana sana.. kuna baadhi ya nyimbo hizo mpaka leo hii (Takribani 15yrs) sijawahi zisikia popote pale nje ya CD zake alizokuwa anatumia.Hahah kuna makuzi itakuwa umepitia ya mabroo.
Sasa unashindwaje kuelewa jumbe kutoka kwa pac, nas, biggie, alafu unawaelewa kelele za kina lil nani sijui, inashangaza kwa kweli.
But anyways kila zama na mambo yake.
Kashtukia huo mtego... mjanja.Utamvuruga mwana mbaya.
Ndio iko ivo man record s zina onyesha hit em up ilijipatia umaarufu kutokana na saga la pac na Biggie small baada ya Pac kutoka jela 1996 lkn No Vaseline ilitoka mapema 1991Hit em up unaiweka namba 5!!!
Acha utani basi...
Sijui hizi charts mbalimbali wanaangaliaga vigezo vipi lakn iko ivo, sawa na Ile chart ya Billboard ya Best rapper of all the time miaka kadhaa alikuwa pac asa hivi Jay-Z ni best ever.Hit em up unaiweka namba 5!!!
Acha utani basi...
I see, may his soul rest in heaven.Yah kiasi.. kuna Mjomba wangu mmoja amefariki kwa sasa. Yeye aliathirika na MADAWA ya kulevya, so enzi za uhai wake alikuwa anapiga sana ngoma za HIP HOP, na Reggae sana sana.. kuna baadhi ya nyimbo hizo mpaka leo hii (Takribani 15yrs) sijawahi zisikia popote pale nje ya CD zake alizokuwa anatumia.
Alikuwa very deep....
Mie nilikuwa obsessed na Mziki aliokuwa anaupiga home. And that time DSTV ndio ilikuwa imeingia ingia so ile TRACE ORIGINAL ndio ilikuwa yamoto.. so nikawa napata OLD SCHOOL vibes pia na New school vibes.
you damn right, that was my point.Niqqas knows kila kichwa na mantiki yake, hujiulizi ni kwanini pac na big walikuwepo wengi,
sema sipendi kuwapambanisha hawa mabraza kila mmoja ana mchango wake, kivyake
Hii 'wakaida' ndio ninapowaona nyie jamaa ni wajabu sana and again i call this disrespect if you knw wat i mean.Huyo Biggie kwa Pac alikuwa wakawaida.
Daah wakali mmemeza hadi verse , nakubaliBitchiez bring lies. Not love
gangster hip hop ilichagizwa sana na NWA, na ndio maana vijana wa west waliishi humo. I personally not a big fan wa gangstar hip hop and dats why with all due respect sio fan wa west coast licha ya mziki mzuri waliofanya, i respect that.Hapana
Hiyo kuelimisha jamii waliileta west coast
Ila hip hop ya bronx ilipoanzia haikua na hilo lengo na haikua na matusi
Westcoast wakina easy e, ice cube na godfather wao dr dre ndo waliofanya hip hop ionekane ya kiharakati at the same time uonekane mziki wa kihuni
Si kwa kuwa yupo HAI na ni MWANACHAMA wa wale watu wenye NGUVU duniani.Sijui hizi charts mbalimbali wanaangaliaga vigezo vipi lakn iko ivo, sawa na Ile chart ya Billboard ya Best rapper of all the time miaka kadhaa alikuwa pac asa hivi Jay-Z ni best ever.
View attachment 2763636
Ukweli unabaki hivyo,nina zaidi ya ngoma 30 za pac na kila nikizipiga masela kibao unyoosha mikono kwa mwamba Pac.Ngoma za Biggie nilizonazo hazizidi 5 na masela wakisikia wala hawastuki.Hii 'wakaida' ndio ninapowaona nyie jamaa ni wajabu sana and again i call this disrespect if you knw wat i mean.
I agree to disagree, na simlazimishi mtu amkubali biggie over pac or vice versa ila maneno kama hayo sidhani kama ni sahihi na ya mtu anaejua hip hop, inahitaji uwe punguani kumuona biggie wa kawaida, regadlessly! (excuse my language)
Mkuu una chuki binafsi. Jay asiwemo kwenye top 10?Si kwa kuwa yupo HAI na ni MWANACHAMA wa wale watu wenye NGUVU duniani.
Kumbuka 2PAC aliwapiga vita sana hao watu mpk akatoa album yake ya KILLUMINATI the 7 day theory..
JZ hana maajabu just refer ile Ngoma aliyoshirikishwa na SNOOP "I wanna rock" uone alivyokimbizwa mule.
JZ hana nyimbo hata moja ya kumpambanishia na Pac. JZ kwa upande wangu hata top 10 hapaswi kuonekana.