2pac alifanya harakati za kudai haki na kuelimisha jamii, Notorious Big aliedanganya maisha yake na kuimba uhuni pekee, anamsogelea kwa kipi?

2pac alifanya harakati za kudai haki na kuelimisha jamii, Notorious Big aliedanganya maisha yake na kuimba uhuni pekee, anamsogelea kwa kipi?

Hawaelewi.. mie si mtu wa zaman sana .. ila nyimbo zangu nyingi ni old school.. hunidanganyi kitu huko.

Mfn nw naskiliza : Remmy Ongala : MZIKI ASILI YAKE WAPI.
Mziki asili yake wapi na Msafiri ya King Kikii sizikosagi. Kipindi chochote kinachoongelea Kitambo lazma nisikilize. Haijalishi ni Aina gani. Pia mimi sio wa Kitambo.
 
Back
Top Bottom