Mziki asili yake wapi na Msafiri ya King Kikii sizikosagi. Kipindi chochote kinachoongelea Kitambo lazma nisikilize. Haijalishi ni Aina gani. Pia mimi sio wa Kitambo.Hawaelewi.. mie si mtu wa zaman sana .. ila nyimbo zangu nyingi ni old school.. hunidanganyi kitu huko.
Mfn nw naskiliza : Remmy Ongala : MZIKI ASILI YAKE WAPI.