3 years Anniversary in JF

1- Umewahi kuwa na mahusiano na member wa Jf..??
2- Umewahi kukutana na member was Jf ana kwa ana..??
3- Ni member yupi anakukera/unamchukia humu Jf...??
4- Kwanini umekuwa ukihisi kwamba Mods wanakuonea..??
 
1. Yes
2. Wengi sana
3. Hawanikeri ila hua tunakwazana kama binaadamu ila kawaida yangu ukiniudhi vipi nikicheka tu basi nasahau kila kitu. Mpaka sasa simchukii mtu ila sipendi watu wenye mawazo negative kwenye mambo ya msingi
4. Hakuna mod aliyewahi nionea.. i appreciate them alot
 
Ikitokea mwanaume amekutumia ujumbe huko PM na akuisifia avatar yako, binasfi utajiskiaje na utamjibu nini...??
Kawaida tu.. nitamwambia umekosea njia. Shida sio avatar kuna wengine wanadhani hii Da' inawakilisha Dada vinci so wanajua ni ke. Mimi sina shida nao kabisa. Nafanya ku left conversation
 
Kipindi kile unaitwa mondray ulikuwaga na viakili vya kiupuuz puuz sana

Sisi wakongwe wa jf ambao tunaenda kugonga 5 years ndo tunajua watoto wa juzi hawawezi kukumbuka

Yote kwa yote kheri kwako mkuu

Aman nakupa iwe nanwe
 
Multiple personality disorder!

Its real

Kafanye therapy mkuu!
 
Kipindi kile unaitwa mondray ulikuwaga na viakili vya kiupuuz puuz sana

Sisi wakongwe wa jf ambao tunaenda kugonga 5 years ndo tunajua watoto wa juzi hawawezi kukumbuka

Yote kwa yote kheri kwako mkuu

Aman nakupa iwe nanwe
Amani iwe nawe pia...
Kipindi kile nilipenda iwe hvo.
 
Wewe sio mzima dogo..

Jipe muda nje ya mitandao...the web is full of lies and fiction.

[emoji23][emoji23][emoji3] umemchana[emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…