3 years Anniversary in JF

3 years Anniversary in JF

1- Umewahi kuwa na mahusiano na member wa Jf..??
2- Umewahi kukutana na member was Jf ana kwa ana..??
3- Ni member yupi anakukera/unamchukia humu Jf...??
4- Kwanini umekuwa ukihisi kwamba Mods wanakuonea..??
 
1. Yes
2. Wengi sana
3. Hawanikeri ila hua tunakwazana kama binaadamu ila kawaida yangu ukiniudhi vipi nikicheka tu basi nasahau kila kitu. Mpaka sasa simchukii mtu ila sipendi watu wenye mawazo negative kwenye mambo ya msingi
4. Hakuna mod aliyewahi nionea.. i appreciate them alot
 
Ikitokea mwanaume amekutumia ujumbe huko PM na akuisifia avatar yako, binasfi utajiskiaje na utamjibu nini...??
Kawaida tu.. nitamwambia umekosea njia. Shida sio avatar kuna wengine wanadhani hii Da' inawakilisha Dada vinci so wanajua ni ke. Mimi sina shida nao kabisa. Nafanya ku left conversation
 
Kipindi kile unaitwa mondray ulikuwaga na viakili vya kiupuuz puuz sana

Sisi wakongwe wa jf ambao tunaenda kugonga 5 years ndo tunajua watoto wa juzi hawawezi kukumbuka

Yote kwa yote kheri kwako mkuu

Aman nakupa iwe nanwe
 
Hello,

Siku ya Alhamis tarehe na mwezi kama wa leo mwaka 2016 nikifanikiwa kujiunga na mtandao huu baada ya kuwa mtumiaji mgeni kwa muda wa miaka mingi.

Japo ni mika 3 tu niko kama member rasmi, ila naona nimekaa miaka mingi, umri wa mtu.

Toka nimejiunga humu nimetumia ID hii moja tu ila nimeibadili jina kama mara 4 hivi. Nilianza na mondray>>>Gentries >>>Da'Vinci >>>Denvers>>>Da'Vinci tena.

Ni ID moja inayotumiwa na mtu mmoja ila hapo kila jina lina personalities zake. Denvers it's my best personality and Da'Vinci its my intellect personality.

Uwepo wangu humu umeniletea faida nyingi na nzuri.

Faida kuu nilizozipata

1. Kupitia JF nimejua potential yangu na nimejua vitu ving, imeniliwaza sana kwakuwa sio mtu wa kujichanganya.

2. Kufahamiana na watu wenye Utu na Ubinaadamu waswahili wanaita koneksheni. (I really thank and appreciate this with all my heart)

Hasara nilizozipata

1. Kujinyima haki yangu kama mtoto. Nimeanza kuifahamu JF na kuanza kuitumia kama guest nikiwa na 16 yr kipindi ndio nimeingia balehe ya kwanza imecharuka. Ukiwa humu GT inatakiwa u behave kama GT so ilinilazimu utoto niache na kujichanganya na watu wazima
Kipindi hiko nilikua nakuja kusoma jukwaa la inteligencia na vichekesho vya member Mentor.

So nikawa sijichanganyi na watu wa umri wangu kitaani nashinda tu JF, unapiga stori na watu usioweza kuwapata. Mnaitana bebi kumbe nyuma ya kibodi naona hata aibu kukuita bebi

2. Imekula muda wangu sana. JF ina addiction mbaya sana. Ukikaa na simu kidogo ushachungulia huku.

Nafurahia kuwa sehemu ya watumiaji wa huu mtandao.

Kama una swali na ushauri wako ningependa unipatie.
Kama nishawahi kukukwaza niambie ila kama ushawahi nikwaza be good sina kinyongo kabisa.. Humbleness is my religion
Ahsante
Vers.
Vinci.

Multiple personality disorder!

Its real

Kafanye therapy mkuu!
 
Kipindi kile unaitwa mondray ulikuwaga na viakili vya kiupuuz puuz sana

Sisi wakongwe wa jf ambao tunaenda kugonga 5 years ndo tunajua watoto wa juzi hawawezi kukumbuka

Yote kwa yote kheri kwako mkuu

Aman nakupa iwe nanwe
Amani iwe nawe pia...
Kipindi kile nilipenda iwe hvo.
 
Wewe sio mzima dogo..

Jipe muda nje ya mitandao...the web is full of lies and fiction.

Back
Top Bottom