johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mkumbuke mnyika ni TO (tanzania one)Utakuwa ni Mdahalo muhimu sana kujua yaliyomo yamo
Chief Odemba ndiye ataongoza Mdahalo huo kupitia Medani za Siasa Star tv
Ni Jumamosi 31/08/2024 na Makatibu Wakuu wa Vyama vyote Watashiriki wakiwemo Dr Nchimbi, John Mnyika, Ado Shaibu na wengine
Muda ni saa 3:30 Usiku hadi saa 5 :30 Usiku
Mlale Unono 😀
My take: Mdahalo ungeanza saa 2:00 usiku hadi saa 6:00 usiku
Naona kakimbilia Mbeya 😃Mkumbuke mnyika ni TO (tanzania one)
Namna hiyo, midahalo kama hii ni muhimu sana. Next time wafanye wagombea ubunge na madiwani, iliwezekana hata urais. Watu wajue wananchagua nani from thereUtakuwa ni Mdahalo muhimu sana kujua yaliyomo yamo
Chief Odemba ndiye ataongoza Mdahalo huo kupitia Medani za Siasa Star tv
Ni Jumamosi 31/08/2024 na Makatibu Wakuu wa Vyama vyote Watashiriki wakiwemo Dr Nchimbi, John Mnyika, Ado Shaibu na wengine
Muda ni saa 3:30 Usiku hadi saa 5 :30 Usiku
Mlale Unono 😀
My take: Mdahalo ungeanza saa 2:00 usiku hadi saa 6:00 usiku
Nchimbi Tanzania one msingi,O.level, A level na best student universityMkumbuke mnyika ni TO (tanzania one)
Ushahidi pls hili halijawahi kujulikana popote TO ni siri?Nchimbi Tanzania one msingi,O.level, A level na best student university
Mnyika lazima aimbe hakeluya
Ukiwa jizi hata uwe professor kujiamini hupungua. Ndio maana sasa hivi utekaji imekuwa nguzo kuu ya ccm kubaki madarakani.Nchimbi Tanzania one msingi,O.level, A level na best student university
Mnyika lazima aimbe hakeluya
Muongoza mdahalo ndio ataamua aulize nini. Hivyo yoyote atajibu kinachoulizwa na sio hizi mindgames zenu nyie wafuasi wa chama cha majiziNchimbi yupo na exposure kubwa na anajua mambo ya International affairs na anajua Dira ya Taifa letu.
Mnyika atujibu kwanza tuhuma za Tundu Lissu kuhusu kula pesa za CHADEMA.
Kule kwenye ubwabwa kutawakilishwa na naniNi Jumamosi 31/08/2024 na Makatibu Wakuu wa Vyama vyote Watashiriki wakiwemo Dr Nchimbi, John Mnyika, Ado Shaibu na wengine
NdioHuyo wa CCM hatatia timu atatuma mwakilishi.