31 Agosti, 2024 kufanyika Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa Maktaba ya UDSM. Dr Nchimbi, Mnyika, Shaibu na wengine Watashiriki

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Utakuwa ni Mdahalo muhimu sana kujua yaliyomo yamo

Chief Odemba ndiye ataongoza Mdahalo huo kupitia Medani za Siasa Star tv

Ni Jumamosi 31/08/2024 na Makatibu Wakuu wa Vyama vyote Watashiriki wakiwemo Dr Nchimbi, John Mnyika, Ado Shaibu na wengine

Muda ni saa 3:30 Usiku hadi saa 5 :30 Usiku

Mlale Unono 😀

My take: Mdahalo ungeanza saa 2:00 usiku hadi saa 6:00 usiku
 
Mkumbuke mnyika ni TO (tanzania one)
 
Namna hiyo, midahalo kama hii ni muhimu sana. Next time wafanye wagombea ubunge na madiwani, iliwezekana hata urais. Watu wajue wananchagua nani from there
 
Nchi hii kila kukicha ni siasa tu.

Lini mtafanya midahalo ya kujadili kuanza kwa meli kubwa ukanda wa Afrika mashariki iliyokeama kuisha ujenzi ndani ya ziwa Victotia?
 
Nasubili ya wenyeviti na ikimpendeza na makam mwenyekiti na yenyewe

Chief Odemba tafadhali usije kupokea udhuru wa kitokuhudhuria
 
Nchimbi yupo na exposure kubwa na anajua mambo ya International affairs na anajua Dira ya Taifa letu.

Mnyika atujibu kwanza tuhuma za Tundu Lissu kuhusu kula pesa za CHADEMA.
 
Mjadala utaendeshwa na chief odemba.
Katibu yupi atawasilisha hoja zake vizuri na kwenda kukubalika kwa wananchi?

Mimi ni Dr. Nchimbi.

CHADEMA, ACT WAZALENDO, NCCR MAGEUZI na CUF makatibu wenu watakuwa wanalialia hovyo sana sana mnyika
 
Nchimbi Tanzania one msingi,O.level, A level na best student university

Mnyika lazima aimbe hakeluya
Ukiwa jizi hata uwe professor kujiamini hupungua. Ndio maana sasa hivi utekaji imekuwa nguzo kuu ya ccm kubaki madarakani.
 
Nchimbi yupo na exposure kubwa na anajua mambo ya International affairs na anajua Dira ya Taifa letu.

Mnyika atujibu kwanza tuhuma za Tundu Lissu kuhusu kula pesa za CHADEMA.
Muongoza mdahalo ndio ataamua aulize nini. Hivyo yoyote atajibu kinachoulizwa na sio hizi mindgames zenu nyie wafuasi wa chama cha majizi
 
Back
Top Bottom