3rd Anniversary ya Blogu ya Wananchi, Nchi ilisimama kwa masaa kadhaa

jamani waandishi kwa kukuza mambo hamjambo

lemutuz yuko kawaida sana jamani msikuze hayo mambo ya anniversary ni mambo ya kawaida
ila blog yake inatisha hasa siku ile ya sherehe ahahahaaaaaaaaaaaaa

- hahahaha niambie ni Blog gani Tanzania imewahi kufanya mambo kama yale niliyofanya? please kubalini ukweli kwamba hii ni AKILI KUBWAZZ halafu tizama yaani hii ndio thread yenye viewers wengi huku kuliko zote toka hii forum ya chit chat ianzishwe sasa wewe utasema mimi ni mtu wa kawaida? kubali tu ni AKILI KUBWAZZZ SUPER CELEBRITY Blogger wa kwanza kudhaminiwa na Sponsors 60,

- Kuanzia Press Conference waulize waliokuwepo kila mtu alipata maziwa kibao ya ASAS, kwenye semina kila mshiriki alipatiwa nauli ya kurudia home vijana 300, now kubalini kwamba this was wasap U know!!

le Mutuz
 
Ha Ha ha. Shikamoo M.S!!! Natumaini hao uliowaita waliwahi kuuliza maswali kabla Le Big Show hajaenda gym😉

Ha ha ha, mi swali nililotaka kuuliza tayari Le Big Show alishalitolea maelezo hata kabla sijauliza, na hapo ndo nikakubali kweli jamaa ni AKILI KUBWAZ kwa kunisoma nini nilitaka kuuliza.
Le big shoow ni genius,yaani kabla hujauliza swali anakujibu hahhaa haaa hlf kumbe safari ya Dubai bado ipo na ana sponsor 60 haah haha hiyo inaitwa kumkomoa nyani gilan
 
Ha ha ha, Le Big Show ni noma, ngoja tusubiri selfie za Dubai.

Hiyo ya kurudi na dola 500 nilijua uongo aisee..Ila Le akili kubwaz kasema ni 1000 sio 500 teh

MSAGA SUMU alikosea kwenye laptop, alidhani Le Mutuz kaja nayo hivyo amekuja na USD500; kumbe alikuja na USD1,000, alivyonunua laptop ndo ikabaki hiyo USD500 aliyoisema.
 
le mukubwaz

- Very soon utagundua this is an institution sio tena Blog, miaka 3 ya blog imetosha sasa naingia kwenye radio na TV hivi umegundua kwamba I am always on the move tunasonga mbele kila siku tunafikiria mambo mapya now wakati sisi tunafikiria mambo mapya ya maendeleo kunwa mijitu mjinga inajali umri halafu eti ni great thinker, mtu huna hata kitu kimoja cha kuonyesha kwa jamiii kwamba umeenda shule miaka yote ya shule bure! kujisaidia mwenyewe huwezi na kuwasaidia wengine huwezi umekalia majungu tu huku JF,

- Guys sisi tunaondoka hivyo, tunapiga kazi kwanza matokeo yatakuja nipe 0.1% mimi nitachukua tu cha muhimu niingie tu kwenye industry mengine nichie mwenyewe ok guys tufanye kazi, huwa mna kelele sana hapa nikiwa sipo umeona nikija mwenyewe maswali na majibu mpaka mnakimbia kazi kutunga majungu na uongo tu eti great thinker hahahahahah

Piga kazi...ukiwa mti wa matunda huwezi kwepa mawe.it either usizalishe ukatwe kabsaa kwa maneno.au uzalishe upigwe mawe na baadhi na kufaidisha jamii yako..
 
- hahahaha niambie ni Blog gani Tanzania imewahi kufanya mambo kama yale niliyofanya? please kubalini ukweli kwamba hii ni AKILI KUBWAZZ halafu tizama yaani hii ndio thread yenye viewers wengi huku kuliko zote toka hii forum ya chit chat ianzishwe sasa wewe utasema mimi ni mtu wa kawaida? kubali tu ni AKILI KUBWAZZZ SUPER CELEBRITY Blogger wa kwanza kudhaminiwa na Sponsors 60,

- Kuanzia Press Conference waulize waliokuwepo kila mtu alipata maziwa kibao ya ASAS, kwenye semina kila mshiriki alipatiwa nauli ya kurudia home vijana 300, now kubalini kwamba this was wasap U know!!

le Mutuz
babu tunakuonea huruma. Hii mikato yako ingetakiwa watoto wako wafanye. Sisi watoto wako tunasikitika na Wewe ni Jipu
 
- Very soon utagundua this is an institution sio tena Blog, miaka 3 ya blog imetosha sasa naingia kwenye radio na TV hivi umegundua kwamba I am always on the move tunasonga mbele kila siku tunafikiria mambo mapya now wakati sisi tunafikiria mambo mapya ya maendeleo kunwa mijitu mjinga inajali umri halafu eti ni great thinker, mtu huna hata kitu kimoja cha kuonyesha kwa jamiii kwamba umeenda shule miaka yote ya shule bure! kujisaidia mwenyewe huwezi na kuwasaidia wengine huwezi umekalia majungu tu huku JF,

- Guys sisi tunaondoka hivyo, tunapiga kazi kwanza matokeo yatakuja nipe 0.1% mimi nitachukua tu cha muhimu niingie tu kwenye industry mengine nichie mwenyewe ok guys tufanye kazi, huwa mna kelele sana hapa nikiwa sipo umeona nikija mwenyewe maswali na majibu mpaka mnakimbia kazi kutunga majungu na uongo tu eti great thinker hahahahahah

le Mutuz
sijui sikukuelewa,eti umesema ume employ ma graduate wane?????
 
- I know kwenye Radio na TV Jumla tumewekeza Billioni 3 kati ya hizo o.1% ni zangu tumemkaribisha Mukula Bilionea wa Uganda na yeye ataongeza Billioni 4 comboned 0.1% ni zangu na from there moving forward kwenye all the profits za kampuni always nitakuwa na 0.1% na mimi ndiye msimamizi wa all operation za Radio na TV, now naomba nikuulize in 10 years from now unaamini mimi na wewe usiyekuwa na hata 0% kwenye anything Duniani zaidi ya Tumbo lako na Ubongo wako uliodumaa uaamini kweli tutakuwa sawa? Mpambe unajua maana yake? ni kama wewe kazi mwanaume mzima kufuatilia maisha ya wanaume wengine ndio maana ya upambe mtuwangu,

- Leo ninaondoka kwenda Lagos kuwakilisha DSTV, ninarudi Jumatatu Asubuhi usiku naondoka tena kwenda Dubai kuwakilisha Emirates Airline, na kote huku ninalipiwa kila kitu na posho juu kisa na mkasa Social Media now naomba nikuulize kwani si kuna Watu wengi sana kwenye Social Media why me kutoka WaTanzania Millioni 50? Mimi na wewe nani anayetakiwa kwenda kulala? hahahahahaha

- Yes after 30 years nimerudi bongo na Degree 3, ninamenunua shamba eka tano kinyerezi nikajenga na nyumba kubwa, nikarudi na USD $1,000 ambazo $500 kati yake nilinunua laptop iliyoanzisha Kampuni ya Blogu ya Wananchi Media Company LTD, na ndio imenipatia nyumba downtown na ofisi downtown wewe ambaye hukuenda Majuu miaka 30 una nini mkuu? hahahahah chezeiya Akili kubwa nipe miaka 5 kutoka sasa utaona kama sikufungua Radio yangu mwenyewe tizama Blog miaka 3 tu iliponifikisha, guy watishe wajinga honestlly wewe huenda ni mjinga wa kwanza humu JF kuliko wote ndio maana huwezi kutumia jina lako kama mimi, hahahahahahah

le Mutuz
Babu looser lemutuz acha porojo zako za kusema eti wewe pia umetoa hata senti kwenye hiyo pesa ya kuwekeza kwenye radio na wakatihata pesa ya kulipia kale kabanda kako ka njiwa ki cubicle cha chumba kimoja unalipiwa na Davis mosha,Davis anakuweka wewe front temporary sababu anajua una vigezo vyote vya ujinga na na wewe ni mtu adhimu kabisa hapa Tanzania yani ni babu pekee aliyekataa kukua,mtoto wa waziri mkuu pekee ambaye ni mdananda,babu pekee africa or maybe even in the whole world ambaye anapata hela ya kula kwa kuandika ujinga ujinga instagram rejea ile nyimbo ya baba swalehe ,mtu mzima pekee Tanzania ambaye anashinda club na kunukisha wenzake mdomo hadi asubuhi sababu na yeye anajiona ana umri wa dogo janja na sababu iko wazi wakati wenzake wanagraduate chuo kikuu wakiwa na miaka chini ya 25 bwana lemutuz aligraduate akiwa na 50 yrs haha yani sasa hivi ndio anajiona yeye sawasaw na vile vibitozi vya benki au nssf haha.
Cheki alivyokuwa looser huyu babu kale kabanda anachojisifia nacho wamekijenga wote yeye na mama watoto wake lakini akazulumu na kukataa kumkatia chake ndio maana hadi leo hakajamalizika yeye yupo tu kulalia lalia makochi ya wema na kupiga picha nyumba ya wema badala kufikiria watu wa umri wake kama kikwete na lowassa wamekuwa maraisi na Pm yeye kupigishana kelele tu wajukuu wake tu kwenye social media hahaha,actually lemutuz anatakiwa awekwe kwenye zoo watu walipie kumuona mzee wa kwanza duniani kuwa na kuvaa kama mcheza visingeli hahaha na ni maajab pia ya karne mtu kusoma degree for more than 30 yrs na bado anajiita akili kubwa haha.
Suala la umri babu lemutuz hata apewe bilion moja hatakubali kulitaja sababu ni kikongwe na yeye anajiona ni mtoto kama nuhu mziwanda haha,huyu mtu ameishi bongo hadi amemaliza form four na kwenda kambi za kujenga taifa kwa miaka miwili na baada ya kumaliza hapo kaenda kwenye chuo cha ubaharia kidogo na akaenda melini kidogo uchina na asia nyenginena zile meli za sinota,hadi hapo ameshakaribia umri wa miaka 25 minimum baada ya hapo akaondoka kwenda ulaya na marekani for 30 yrs haha yani hadi anarudi bongo anakaribia 50 something na hadi leo miaka 4 sijui 5 ina maana anagota 60yrs hivi karibuni hahaha jamani huyu ni kikongwe tumuheshimuni tu ameshazeeka tumuombee , ana jifanya straight talking guy lakini he will never talk straight about his age hahaha mdananda wa Davis una tabu kweli,safe journey babu Agapeo.
 
Dah aisee, inabidi tuombe radhi wengine, maana kama ni 60 yrs. Tumemkosea heshima, inatupasa tuwe na adamu jamani.
 
- I know kwenye Radio na TV Jumla tumewekeza Billioni 3 kati ya hizo o.1% ni zangu tumemkaribisha Mukula Bilionea wa Uganda na yeye ataongeza Billioni 4 comboned 0.1% ni zangu na from there moving forward kwenye all the profits za kampuni always nitakuwa na 0.1% na mimi ndiye msimamizi wa all operation za Radio na TV, now naomba nikuulize in 10 years from now unaamini mimi na wewe usiyekuwa na hata 0% kwenye anything Duniani zaidi ya Tumbo lako na Ubongo wako uliodumaa uaamini kweli tutakuwa sawa? Mpambe unajua maana yake? ni kama wewe kazi mwanaume mzima kufuatilia maisha ya wanaume wengine ndio maana ya upambe mtuwangu,

- Leo ninaondoka kwenda Lagos kuwakilisha DSTV, ninarudi Jumatatu Asubuhi usiku naondoka tena kwenda Dubai kuwakilisha Emirates Airline, na kote huku ninalipiwa kila kitu na posho juu kisa na mkasa Social Media now naomba nikuulize kwani si kuna Watu wengi sana kwenye Social Media why me kutoka WaTanzania Millioni 50? Mimi na wewe nani anayetakiwa kwenda kulala? hahahahahaha

- Yes after 30 years nimerudi bongo na Degree 3, ninamenunua shamba eka tano kinyerezi nikajenga na nyumba kubwa, nikarudi na USD $1,000 ambazo $500 kati yake nilinunua laptop iliyoanzisha Kampuni ya Blogu ya Wananchi Media Company LTD, na ndio imenipatia nyumba downtown na ofisi downtown wewe ambaye hukuenda Majuu miaka 30 una nini mkuu? hahahahah chezeiya Akili kubwa nipe miaka 5 kutoka sasa utaona kama sikufungua Radio yangu mwenyewe tizama Blog miaka 3 tu iliponifikisha, guy watishe wajinga honestlly wewe huenda ni mjinga wa kwanza humu JF kuliko wote ndio maana huwezi kutumia jina lako kama mimi, hahahahahahah

le Mutuz
0.1% =0.1/100=0.001
0.001 * 3,000,000,000
=3,000,000 Tsh
Le Akili Kubwaz
 
Hapo
0.1% =0.1/100=0.001
0.001 * 3,000,000,000
=3,000,000 Tsh
Le Akili Kubwaz
Ukweli labda Davis Mosha amewekeza labda bilioni moja tu so le akili kubwazi ameinject capital sh 1million out of a billion from the big boss and has audacity to call himself a Davis partner in the venture haha this buffon realy makes me laugh hard that I feel like peeing on my pants.
 
Kwa maelezo yake ni kwamba yeye kaongeza milioni 3(3mill) kwenye 2,997,000,000/= (bilioni mbili na milioni mia tisa tisini na saba) za Davis Mosha. (Kichekesho)
 
Back
Top Bottom