Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo sijui nimeamkaje jana nahisi kwenye valuer waliniwekea vitu vingine
Akishanipiga, cha kufanya nitakijua hapo hapo, kwani itategemea amenipigaje? Hata hivyo sijapigwa muda mrefu sana.
hakurudia tena hilo kosa na ni miaka sasa na alikuwa analirudia rudia kila mara. Unajua kupiga si kitu kizuri kabisa na ni hatua ya mwisho kabisa na mtu anayekupiga ujue yuko tayari kwa lolote hata ukiondoka hamna tatizo kwake hivyo si kitu kizuri na ukiona umepigwa na huyo mtu basi kaa nae chini muongee na umuombe msamaha. W/ume tuna hasira sana tofauti na w/wake na uwa hasira zetu zinapelekea kupiga ingawa wanawake hasira zao zinapelekea kutoa maneno machafu ambayo kwangu mimi ni mabaya zaidi ya kupigwa hata ngumi 100. Najua wengi mnasema hamjawahi kupigwa ila mnapigwa vyumbani ila mnaona aibu kusema na kama nilivyoeleza hapo juu hasira za m/ume zinapelekea kupiga mara nyingi na ukiona ujapigwa basi ujue huyo uliyenae hana hasira kabisa au labda hujamuudhi vya kutosha. Hata Obama nasikia aliwahi kumpiga kibao mke wake siku za nyuma na alimwomba msamahaIlikusaidia nini?
afu jana nisingekuwepo,,,, sijui ingekuwaje manake ungejibeba......haaa! lakini karibu utagraduate tu
Dah halafu natamani uchaguzi uiishe halafu hawa watu wafungue naniii zao nije huko mwezi wa kumi na moja nikutambulishe kijana ambaye yuko kwenye timu ya watoto (kikosi B) bado anachukua mafunzo ya INFI ili umfahamu kusudi awe anakufanyia logistics
Duh kijana unataka tuharakishe kukupa degree yako nini? LOL
hakurudia tena hilo kosa na ni miaka sasa na alikuwa analirudia rudia kila mara. Unajua kupiga si kitu kizuri kabisa na ni hatua ya mwisho kabisa na mtu anayekupiga ujue yuko tayari kwa lolote hata ukiondoka hamna tatizo kwake hivyo si kitu kizuri na ukiona umepigwa na huyo mtu basi kaa nae chini muongee na umuombe msamaha. W/ume tuna hasira sana tofauti na w/wake na uwa hasira zetu zinapelekea kupiga ingawa wanawake hasira zao zinapelekea kutoa maneno machafu ambayo kwangu mimi ni mabaya zaidi ya kupigwa hata ngumi 100. Najua wengi mnasema hamjawahi kupigwa ila mnapigwa vyumbani ila mnaona aibu kusema na kama nilivyoeleza hapo juu hasira za m/ume zinapelekea kupiga mara nyingi na ukiona ujapigwa basi ujue huyo uliyenae hana hasira kabisa au labda hujamuudhi vya kutosha. Hata Obama nasikia aliwahi kumpiga kibao mke wake siku za nyuma na alimwomba msamaha
najua watu wata react lakini fact ndio hiyo tena kwa walevi ndio haswa kila mara wanapiga wenza wao wanapowahudhi
Utalia?
Utamrudishia?
Utamkiss ?
Utamwambia i love u
Hutaongea nae 1 day , 1week ,month or a year,
Utaachana nae /:couch2:
have great weekend !
NB: nauliza tu..... Wanaume mnaruhusiwa kuweka maoni yenu
Akishanipiga, cha kufanya nitakijua hapo hapo, kwani itategemea amenipigaje? Hata hivyo sijapigwa muda mrefu sana.
hiyo adhabu aliyokupa nadhani ni zaidi ya kupigwa kulala nje ni kitu kibaya sana kwenye ndoa ni heri mtu akupige kibao ulie yaishe kuliko kwenda sehemu akapunguze hasira zake kwa kutafuta refreshment nyingine maana badala ya kibao unaweza kuletewa VVU kabisa ambayo ni kibao kikubwa kwenu, kwa watoto, ndg zako na taifa kwa ujumlaniliwahi kupigwa na bfrnd, tena kwa mambo ya kijinga ya wivu wivu tu, mara ya kwanza alini slap tu nikajua kapitiwa, mara ya pili ndio alinipiga ile kupiga kama vile anapigana na mwanaume mwenzie, nilitoka hapo kutembea cwez, ukangalia alama za mkanda ndio balaa, huyu nilimtamkia hapo hapo kwamba dk hii ulivyomaliza kunipiga ndio mwisho we2 na ilikuwa kweli, alibembeleza sana tu lakini wapi, kwa mr ana hacra za kumtosha tunalumbana vya kutosha, lakini yeye ana ile atatoka kwenda anakikujua, akirudi hacra zimepungua au hata kesho yake tunaweza kuongea ki utaratibu, kuna kipindi nilimuudhi kiac cha kwamba aliondoka home week nzima, cm zangu hapokei, sms hajibu na cjui yupo wapi,nilikuwa natamani hata apokee, a reply sms coz naju nilimuudhi lakini wapi, alirudi amenikuta nimenyong'onyea sana, ile adhabu ilikuwa kubwa aiseee, coz nilitaabika sana, aliniambia nilimpandisha hacra akatamani kunipiga lakini akaona italeta shida zaidi so akaamua achukue adhabu hiyo, iliniumiza sana.
I suggest if it happens the best way is to keep quite and take your BIBLE and start reading it after sometime he will come back to you saying sorry i didn't meant to slap you sasa hapo ndio mnaanza kucompromise na kuanza kumueleza thats not the right way mnayamaliza on the spot, you smile, you hug each other and say "I love you" mambo yanaisha vizuri
Ili kuleta maendeleo katika jimbo letu la kawe, tuungane pamoja tumpe kura zetu Halima Mdee!~
hiyo adhabu aliyokupa nadhani ni zaidi ya kupigwa kulala nje ni kitu kibaya sana kwenye ndoa ni heri mtu akupige kibao ulie yaishe kuliko kwenda sehemu akapunguze hasira zake kwa kutafuta refreshment nyingine maana badala ya kibao unaweza kuletewa VVU kabisa ambayo ni kibao kikubwa kwenu, kwa watoto, ndg zako na taifa kwa ujumla
nasema hivyo kwa kuwa w/ume tunapokasirika na kwenda mbali uwa tuna tendecy ya kuchukua machangudoa na kulewa sana ili usikumbukematatizo yako (hii ni ukweli kabisa) so please Nyamayao mkanye kuhusu hiyo tabia ya kuondoka home ni mbaya kwa afya zenu. All in all kupiga sio kitu kizuri lakini nyie wake zetu uwa mnasababisha sana mtu kupiga kwa maneno yenu mabaya na machafu. Mimi sipendi kupiga ila kama ikatokea wife amenidhalilisha kwa maneno machafu mbele za watu nitamwadabisha hapo hapo mbele za watu ila kama ni chumbani niko radhi tuyamalize kiutu uzima
Ili kuleta maendeleo katika jimbo letu la kawe, tuungane pamoja tumpe kura zetu Halima Mdee!~
yaani akae mahali week nzima akitafuta changudoa?....jamani!
niliwahi kupigwa na bfrnd, tena kwa mambo ya kijinga ya wivu wivu tu, mara ya kwanza alini slap tu nikajua kapitiwa, mara ya pili ndio alinipiga ile kupiga kama vile anapigana na mwanaume mwenzie, nilitoka hapo kutembea cwez, ukangalia alama za mkanda ndio balaa, huyu nilimtamkia hapo hapo kwamba dk hii ulivyomaliza kunipiga ndio mwisho we2 na ilikuwa kweli, alibembeleza sana tu lakini wapi, kwa mr ana hacra za kumtosha tunalumbana vya kutosha, lakini yeye ana ile atatoka kwenda anakikujua, akirudi hacra zimepungua au hata kesho yake tunaweza kuongea ki utaratibu, kuna kipindi nilimuudhi kiac cha kwamba aliondoka home week nzima, cm zangu hapokei, sms hajibu na cjui yupo wapi,nilikuwa natamani hata apokee, a reply sms coz naju nilimuudhi lakini wapi, alirudi amenikuta nimenyong'onyea sana, ile adhabu ilikuwa kubwa aiseee, coz nilitaabika sana, aliniambia nilimpandisha hacra akatamani kunipiga lakini akaona italeta shida zaidi so akaamua achukue adhabu hiyo, iliniumiza sana.
Hii imekujaje kwenye hii topic....?? :confused2::confused2::confused2::confused2: