4 The Ladies,if your BF/Husband Slaps U Whats your Best Reaction?

Akishanipiga, cha kufanya nitakijua hapo hapo, kwani itategemea amenipigaje? Hata hivyo sijapigwa muda mrefu sana.
 
Leo sijui nimeamkaje jana nahisi kwenye valuer waliniwekea vitu vingine

afu jana nisingekuwepo,,,, sijui ingekuwaje manake ungejibeba......haaa! lakini karibu utagraduate tu
 
Ilikusaidia nini?
hakurudia tena hilo kosa na ni miaka sasa na alikuwa analirudia rudia kila mara. Unajua kupiga si kitu kizuri kabisa na ni hatua ya mwisho kabisa na mtu anayekupiga ujue yuko tayari kwa lolote hata ukiondoka hamna tatizo kwake hivyo si kitu kizuri na ukiona umepigwa na huyo mtu basi kaa nae chini muongee na umuombe msamaha. W/ume tuna hasira sana tofauti na w/wake na uwa hasira zetu zinapelekea kupiga ingawa wanawake hasira zao zinapelekea kutoa maneno machafu ambayo kwangu mimi ni mabaya zaidi ya kupigwa hata ngumi 100. Najua wengi mnasema hamjawahi kupigwa ila mnapigwa vyumbani ila mnaona aibu kusema na kama nilivyoeleza hapo juu hasira za m/ume zinapelekea kupiga mara nyingi na ukiona ujapigwa basi ujue huyo uliyenae hana hasira kabisa au labda hujamuudhi vya kutosha. Hata Obama nasikia aliwahi kumpiga kibao mke wake siku za nyuma na alimwomba msamaha

najua watu wata react lakini fact ndio hiyo tena kwa walevi ndio haswa kila mara wanapiga wenza wao wanapowahudhi
 
afu jana nisingekuwepo,,,, sijui ingekuwaje manake ungejibeba......haaa! lakini karibu utagraduate tu

Dah halafu natamani uchaguzi uiishe halafu hawa watu wafungue naniii zao nije huko mwezi wa kumi na moja nikutambulishe kijana ambaye yuko kwenye timu ya watoto (kikosi B) bado anachukua mafunzo ya INFI ili umfahamu kusudi awe anakufanyia logistics
 
Duh kijana unataka tuharakishe kukupa degree yako nini? LOL
 
Si unajua vyuo vya kibongo wanafunzi hawachelewi kugoma halafu masomo yakisimama ina maana kupata degree yangu mwaka huo inakuwa imekufa
 
Leo umeonjwa kibao nini? Nuna tuuuuuuuuuu badae unamwambia njoo kula chakula chako:llama::moony:
 
Ili kuleta maendeleo katika jimbo letu la kawe, tuungane pamoja tumpe kura zetu Halima Mdee!~
 
hakurudia tena hilo kosa na ni miaka sasa na alikuwa analirudia rudia kila mara. Unajua kupiga si kitu kizuri kabisa na ni hatua ya mwisho kabisa na mtu anayekupiga ujue yuko tayari kwa lolote hata ukiondoka hamna tatizo kwake hivyo si kitu kizuri na ukiona umepigwa na huyo mtu basi kaa nae chini muongee na umuombe msamaha. W/ume tuna hasira sana tofauti na w/wake na uwa hasira zetu zinapelekea kupiga ingawa wanawake hasira zao zinapelekea kutoa maneno machafu ambayo kwangu mimi ni mabaya zaidi ya kupigwa hata ngumi 100. Najua wengi mnasema hamjawahi kupigwa ila mnapigwa vyumbani ila mnaona aibu kusema na kama nilivyoeleza hapo juu hasira za m/ume zinapelekea kupiga mara nyingi na ukiona ujapigwa basi ujue huyo uliyenae hana hasira kabisa au labda hujamuudhi vya kutosha. Hata Obama nasikia aliwahi kumpiga kibao mke wake siku za nyuma na alimwomba msamaha

najua watu wata react lakini fact ndio hiyo tena kwa walevi ndio haswa kila mara wanapiga wenza wao wanapowahudhi

niliwahi kupigwa na bfrnd, tena kwa mambo ya kijinga ya wivu wivu tu, mara ya kwanza alini slap tu nikajua kapitiwa, mara ya pili ndio alinipiga ile kupiga kama vile anapigana na mwanaume mwenzie, nilitoka hapo kutembea cwez, ukangalia alama za mkanda ndio balaa, huyu nilimtamkia hapo hapo kwamba dk hii ulivyomaliza kunipiga ndio mwisho we2 na ilikuwa kweli, alibembeleza sana tu lakini wapi, kwa mr ana hacra za kumtosha tunalumbana vya kutosha, lakini yeye ana ile atatoka kwenda anakikujua, akirudi hacra zimepungua au hata kesho yake tunaweza kuongea ki utaratibu, kuna kipindi nilimuudhi kiac cha kwamba aliondoka home week nzima, cm zangu hapokei, sms hajibu na cjui yupo wapi,nilikuwa natamani hata apokee, a reply sms coz naju nilimuudhi lakini wapi, alirudi amenikuta nimenyong'onyea sana, ile adhabu ilikuwa kubwa aiseee, coz nilitaabika sana, aliniambia nilimpandisha hacra akatamani kunipiga lakini akaona italeta shida zaidi so akaamua achukue adhabu hiyo, iliniumiza sana.
 
Utalia?
Utamrudishia?
Utamkiss ?
Utamwambia i love u
Hutaongea nae 1 day , 1week ,month or a year,
Utaachana nae /:couch2:
have great weekend !

NB: nauliza tu..... Wanaume mnaruhusiwa kuweka maoni yenu

Hii ni dalili kuwa unapendwa saaaaaaaaaaaaaana.
Huna budi kuzidisha malove davi
 
Akishanipiga, cha kufanya nitakijua hapo hapo, kwani itategemea amenipigaje? Hata hivyo sijapigwa muda mrefu sana.

Jaribu kutikisa kiberiti kwa siku moja tu uone.
Lakini ukipigwa kiukweli huyo mtu anakupenda sana kama hakupendi hawezi kukupiga.
Angalia hata muembe wenye matunda mazuri hupigwa mawe.
 
niliwahi kupigwa na bfrnd, tena kwa mambo ya kijinga ya wivu wivu tu, mara ya kwanza alini slap tu nikajua kapitiwa, mara ya pili ndio alinipiga ile kupiga kama vile anapigana na mwanaume mwenzie, nilitoka hapo kutembea cwez, ukangalia alama za mkanda ndio balaa, huyu nilimtamkia hapo hapo kwamba dk hii ulivyomaliza kunipiga ndio mwisho we2 na ilikuwa kweli, alibembeleza sana tu lakini wapi, kwa mr ana hacra za kumtosha tunalumbana vya kutosha, lakini yeye ana ile atatoka kwenda anakikujua, akirudi hacra zimepungua au hata kesho yake tunaweza kuongea ki utaratibu, kuna kipindi nilimuudhi kiac cha kwamba aliondoka home week nzima, cm zangu hapokei, sms hajibu na cjui yupo wapi,nilikuwa natamani hata apokee, a reply sms coz naju nilimuudhi lakini wapi, alirudi amenikuta nimenyong'onyea sana, ile adhabu ilikuwa kubwa aiseee, coz nilitaabika sana, aliniambia nilimpandisha hacra akatamani kunipiga lakini akaona italeta shida zaidi so akaamua achukue adhabu hiyo, iliniumiza sana.
hiyo adhabu aliyokupa nadhani ni zaidi ya kupigwa kulala nje ni kitu kibaya sana kwenye ndoa ni heri mtu akupige kibao ulie yaishe kuliko kwenda sehemu akapunguze hasira zake kwa kutafuta refreshment nyingine maana badala ya kibao unaweza kuletewa VVU kabisa ambayo ni kibao kikubwa kwenu, kwa watoto, ndg zako na taifa kwa ujumla

nasema hivyo kwa kuwa w/ume tunapokasirika na kwenda mbali uwa tuna tendecy ya kuchukua machangudoa na kulewa sana ili usikumbukematatizo yako (hii ni ukweli kabisa) so please Nyamayao mkanye kuhusu hiyo tabia ya kuondoka home ni mbaya kwa afya zenu. All in all kupiga sio kitu kizuri lakini nyie wake zetu uwa mnasababisha sana mtu kupiga kwa maneno yenu mabaya na machafu. Mimi sipendi kupiga ila kama ikatokea wife amenidhalilisha kwa maneno machafu mbele za watu nitamwadabisha hapo hapo mbele za watu ila kama ni chumbani niko radhi tuyamalize kiutu uzima
 
I suggest if it happens the best way is to keep quite and take your BIBLE and start reading it after sometime he will come back to you saying sorry i didn't meant to slap you sasa hapo ndio mnaanza kucompromise na kuanza kumueleza thats not the right way mnayamaliza on the spot, you smile, you hug each other and say "I love you" mambo yanaisha vizuri

Sijawahi kujua kama unaweza kutoa ushauri wa kibusara hivyo.....!!
sasa hiyo una-apply wapi....kwa infii au to the real one...??? :confused2::confused2::confused2::confused2:
 
Ili kuleta maendeleo katika jimbo letu la kawe, tuungane pamoja tumpe kura zetu Halima Mdee!~

Remove Your Thanks
The Following User Says Thank You to Asprin For This Useful Post:

Kaizer (Today)

Hommie ni do ze nidiful? umekosea mlango nini du au naye ni mwanachama wa hili jukwaa? jina lake na namba ya risiti tafadhali?
 
hiyo adhabu aliyokupa nadhani ni zaidi ya kupigwa kulala nje ni kitu kibaya sana kwenye ndoa ni heri mtu akupige kibao ulie yaishe kuliko kwenda sehemu akapunguze hasira zake kwa kutafuta refreshment nyingine maana badala ya kibao unaweza kuletewa VVU kabisa ambayo ni kibao kikubwa kwenu, kwa watoto, ndg zako na taifa kwa ujumla

nasema hivyo kwa kuwa w/ume tunapokasirika na kwenda mbali uwa tuna tendecy ya kuchukua machangudoa na kulewa sana ili usikumbukematatizo yako
(hii ni ukweli kabisa) so please Nyamayao mkanye kuhusu hiyo tabia ya kuondoka home ni mbaya kwa afya zenu. All in all kupiga sio kitu kizuri lakini nyie wake zetu uwa mnasababisha sana mtu kupiga kwa maneno yenu mabaya na machafu. Mimi sipendi kupiga ila kama ikatokea wife amenidhalilisha kwa maneno machafu mbele za watu nitamwadabisha hapo hapo mbele za watu ila kama ni chumbani niko radhi tuyamalize kiutu uzima

wewe una wenge la mshahara au? mfano wa kwanza ni kwamba anaenda anakokujua, i mean bar kunywa au matembezi anayoyajua yeye na anarudi home hacra zikiwa zimepungua, mfano wa pili ni aliondoka home lakini alikuwa mahali ambapo nilikujua na pa usalama kabisa ili apunguze hacra zake tu,(ckuweza kwenda alopokuwa kwa sababu binafs)...so nilitaka yeye ndio arudi home tuyaongelee sio mie kumfata huko alipokuwa na kuyaongea, ishu ni kwamba alikuwa hataki kupokea calls/ku reply sms zangu, (k2 ambacho kilikuwa kinaniuma sana) lakini watu wengine anawacliana nao kawaida esp ma sis, na walikutana huko alipokuwa na kumuelezea kwanini mambo yamefikia yalipofikia, sio kwamba alienda kutafuta hao unaowasema, yaani akae mahali week nzima akitafuta changudoa?....jamani!
 
Ili kuleta maendeleo katika jimbo letu la kawe, tuungane pamoja tumpe kura zetu Halima Mdee!~

Hii imekujaje kwenye hii topic....?? :confused2::confused2::confused2::confused2:
 
niliwahi kupigwa na bfrnd, tena kwa mambo ya kijinga ya wivu wivu tu, mara ya kwanza alini slap tu nikajua kapitiwa, mara ya pili ndio alinipiga ile kupiga kama vile anapigana na mwanaume mwenzie, nilitoka hapo kutembea cwez, ukangalia alama za mkanda ndio balaa, huyu nilimtamkia hapo hapo kwamba dk hii ulivyomaliza kunipiga ndio mwisho we2 na ilikuwa kweli, alibembeleza sana tu lakini wapi, kwa mr ana hacra za kumtosha tunalumbana vya kutosha, lakini yeye ana ile atatoka kwenda anakikujua, akirudi hacra zimepungua au hata kesho yake tunaweza kuongea ki utaratibu, kuna kipindi nilimuudhi kiac cha kwamba aliondoka home week nzima, cm zangu hapokei, sms hajibu na cjui yupo wapi,nilikuwa natamani hata apokee, a reply sms coz naju nilimuudhi lakini wapi, alirudi amenikuta nimenyong'onyea sana, ile adhabu ilikuwa kubwa aiseee, coz nilitaabika sana, aliniambia nilimpandisha hacra akatamani kunipiga lakini akaona italeta shida zaidi so akaamua achukue adhabu hiyo, iliniumiza sana.

jamani pole Mrs, siku nikikutana naye huyo mjamaa wako namgonga makusudi! si ndio eeh:A S 13:
 
Back
Top Bottom