4% ya mapato kwenda Zanzibar kama Hoja ya Muungano

Kumbuka kuwa yeye mwenyewe ni Mzenji,kwa hiyo usishangae hiyo asilimia 4 ikapanda ikafika hata 40%.Mimi nomeshaona dalili za kuibeba Zanzibar kwa mbeleko ya chuma.

Sasa Ina maana ipi kuwa na Muungano utadhani Tanganyika Tuko na Koloni lenye watu wavivu wenye kutegemea kubebwa???? [emoji16]
 
Hizo ni pesa kutoka nje mfano shirika la mpira wa miguu fifa pesa za mashiirika ya nje kama who pesa zinazotoka ktk numuiya za madola na mengine mingi tu jee unajua kama tanganyika ilikua hawana kiti umoja wa mataifa wana tumia kiti cha zanzibar na jee unajua zanzibar wanabendera lkn tanganyika hawana
 
Sio misaada ni bakaa ya pato la muungano, hapa kuna vitu tunachanganya. Soma bandiko moja huko juu kuna mtu alielezea vizuri ingawa mwishoni alimaliza kwa jazba
 
Sasa Ina maana ipi kuwa na Muungano utadhani Tanganyika Tuko na Koloni lenye watu wavivu wenye kutegemea kubebwa???? [emoji16]
Yaani Tunaelekea kubaya sana,Mama huyu anajaribu kuleta hoja za kichokozi ili makusudi kuibeba Zanzibar,si nyumbani.
 


Mkuu tusaidie hii bendera ni ya nchi ipi??? [emoji848]
 
Yaani Tunaelekea kubaya sana,Mama huyu anajaribu kuleta hoja za kichokozi ili makusudi kuibeba Zanzibar,si nyumbani.
Wanao ngangania huu muungano ni watanganyika siyo wa zanzibar na kila rais wa ccm asema yuko tayari kulinda mungano hata damu imwagike lkn mungano uwepo mashekhe wa uamsho wamo ndani kwa kutaka mamlaka kamili ya zanzibar
 
Msaada sawa kama haujalenga eneo maalumu. Mkopo si unachukuliwa kufanya kitu husika. Mkopo wa kujenga stigilazi ZNZ wa gawiwe wa nini? Hili la mkopo wasaidiwe kwa kudhaminiwa kama watakuwa na mkakati wa kuulipa.
Kama ni kwa sula hiyo ni sawa kwa kuwa inaleta ukakasi eti mwenzako amekopa kwa kazi fulani afu akugawie wewe ambaye huna mango kazi na hizo pesa..wajengewe uwezo wa kukopa...
 
Kwanza nikukumbushe Kitu kimoja. Kabla ya huu unaoitwa Muungano kulikuwa na Jumuiya ya Afrika Mashariki ambapo Zanzibar ilikuwa Mwanachama na Tanganyika ilkuwa mwanachama. Ilipovunjwa jumuiya Afrika mashariki Pesa za Zanzibar na Za Tanganyika pia zilichukuliwa na Tanganyika zote na ikaanzishwa hio tunaiita BOT. Tokea Wakati huo Zanzibar haijawahi kupewa Pesa zake wela kupewa faida yoyte kutoka BOT.
Mimi nafikiri tungelianzia hapo kwanza kujua Zanzibar ilitoa share gani kuanzishwa kwa BOT na ni kiasi gani kama faida Zanzibar inaidai Tanganyika (BOT)?
Pili kuhusiana na hayo mapato ya Muungano ambayo nyinyi munahisi Zanzibar haina haki ya Kupata mgao , simple kuyaondowa kwenye orodha ya mambo muungano, mafuta na gesi na Madini yaondoweni sisi hatutodai, Mikopo na misaa yotoweni sisi hatutodai, Tax wambieni TRA wasioperate Zanzibar lakini sio kuchukua kodi Zetu ni halali kwenu lakini kurudisha chenji munaingia kiwewe. Mambo munayaharibu wenyewe kutaka kila kitu kiwe cha Muungano , hasara zote na sisi tunabeba, kwanini hamutaki tugawane Faida pia?
 
Usichokifahamu ni kwamba TRA wanakusanya kodi hadi Zanzibar. Ndio maana sheria inataka 4% ya mapato yote Tanzania iende Zanzibar. Tena hio 4% kwa maoni yangu ni ndongo ingepaswa walau 15%.
wanakusanya vitu vinavyobaki znz au vinatoka au kupitia znz kwenda bara?
 
Heeee! sijui historia hiyo uliisoma wapi kuwa Zanzibar ni mali ya Sultani wa Oman. Kwani Tanganyika iliyotawaliwa na Muingereza ilikuwa mali yake? Hebu wacheni siasa za majitaka hizo hao waOman uchumi wao ni mkubwa wala hawana shida na Wazanzibari njaa.
 
tra inakusanya kodi kwa vitu vinavyokwenda bara kupitia znz au sio?ila mapato ya ndani ni bodi yao wz znz
Kama wana ZRB kwa nn pia wana TRA kwahio wao wanalipa kodi mara 2 ndio maana nikasema kama wana TRA basi ni haki yao kupata zaidi ya hio 4%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…