Hakuna mwanaume mwenye ujasiri huualietayari ku asili mtoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna mwanaume mwenye ujasiri huualietayari ku asili mtoto
Wewe umri wako mbona hujatajaHabari nahitaji Mume mwenye umri 40 Hadi 49 Kwa ajili ya ndoa halali ya kanisani
Mchapkazi na anayejua Majukumu yake sio wakulelewa
Mkristo hasa mpetekoste
NB alietayari ku asili mtoto
Awe mkoa WA manyara kilimanjaro ,Tanga au Dar
38yrsWewe umri wako mbona hujataja
SinaUna watoto wangapi 😆
Em tuma picha yakoSina
Bado natafuta
Kama kuolewa ni muonekano walemavu wasingeoa na kuolewaEm tuma picha yako
NikweliKama kuolewa ni muonekano walemavu wasingeoa na kuolewa
Come inboxHabari nahitaji Mume mwenye umri 40 Hadi 49 Kwa ajili ya ndoa halali ya kanisani
Mchapkazi na anayejua Majukumu yake sio wakulelewa
Mkristo hasa mpetekoste
NB alietayari ku asili mtoto
Awe mkoa WA manyara kilimanjaro ,Tanga au Dar
Ndio nimekosa Mzee mwenzangu tutulie tufurahie umri WA 40s Kwa kumtumikia Mungu ,Bila pombe sigara na Disco Yani Sisi wawiliCome inbox
Nimekuzidi mwezi mmoja 39 now vipi HapoHabari nahitaji Mume mwenye umri 40 Hadi 49 Kwa ajili ya ndoa halali ya kanisani
Mchapkazi na anayejua Majukumu yake sio wakulelewa
Mkristo hasa mpetekoste
NB alietayari ku asili mtoto
Awe mkoa WA manyara kilimanjaro ,Tanga au Dar
Mwezi au mwakaNimekuzidi mwezi mmoja 39 now vipi Hapo