Mwenzako nakula wali maharage, asubuhi mchana na jioni. Mlo size ya mwanaume...sijui ni hii baridi inaleta njaa nashindwa kuelewaHalafu sijui ni shetani au ni nini, juzi tu nmewaza kwa sauti nikajisemea "nipunguze kidogo kula" cha ajabu hiyo jana nmeamka na apetite ya hatari asubuhi nmekula chapati tatu... Shetani ana nguvu kuliko breakdown
Alafu nyiee watoto wakike acheni dharau...kwani mbususu ikipigwa vumbi inashindwa kutoa utelezi toka lini? Ingekuwa hivyo leo hii tusingekuwa hapa tunachapa marimba ya mzungu🤣🤣🤣🤣🤣Yani niilete huko ipigwe vumbi??? Hapana kaka piga tu punyeto
Wanakula sana Wanga, Zanzibar chakula yao kubwa ni ngano na mchele na mihogo basi.Unene wa Zanzibar unatokaba na kuzaa sana sio kula ,chunguza hilo unene anaopata mwanamke baada ya kuzaa .
duh lamama unachana mbao nini?Halafu sijui ni shetani au ni nini, juzi tu nmewaza kwa sauti nikajisemea "nipunguze kidogo kula" cha ajabu hiyo jana nmeamka na apetite ya hatari asubuhi nmekula chapati tatu... Shetani ana nguvu kuliko breakdown
Adante sana mkuu.Mr safuher kuna mada hapa na wengine wanaopenda kujua kuhusu uzito sukari na afya mbalimbali muwe na subira tu link zinachelewa kufunguka ila ni madini ukiwa na subira kdooogo
Jichagulie mwenyewe cha kusoma hapa (presha, sukari?, ulcers, utajiri, ujasiriamali?)
Elezea kwa urefu mkuu ili na sisi tujifunze zaidi na tupanue mjadalaIts not how much you eat, its about what you eat. If you eat right, your body wont need much.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani chapati tatu ndio umekula sana,.??Halafu sijui ni shetani au ni nini, juzi tu nmewaza kwa sauti nikajisemea "nipunguze kidogo kula" cha ajabu hiyo jana nmeamka na apetite ya hatari asubuhi nmekula chapati tatu... Shetani ana nguvu kuliko breakdown