Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Mwenzako nakula wali maharage, asubuhi mchana na jioni. Mlo size ya mwanaume...sijui ni hii baridi inaleta njaa nashindwa kuelewaHalafu sijui ni shetani au ni nini, juzi tu nmewaza kwa sauti nikajisemea "nipunguze kidogo kula" cha ajabu hiyo jana nmeamka na apetite ya hatari asubuhi nmekula chapati tatu... Shetani ana nguvu kuliko breakdown