Kubwa kwa kipimo kipi? Printer kama ilivyo kifaa kingine cha electronic kama simu, ipad, friji nk hutofautiana bei bei kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ubora, functions, na features nyingine ,nk.....mfano hii ni mulfi functional printer DW Canon ni moja ya sophisticated version ya Canon, sy printer kama printer za kawaida ina uwezo wa kuprint na kugeuza karatasi yenyewe(sy kila printer ina hii feature) unaweza tumia kama fax, ina wireless feature ambayo ndy msingi wake, inakufanya uweze kuprint document hata kwa kutumia simu yako ya mkononi bila kuunganisha waya wwt, na unaweza pia unganisha users kama zaidi ya watano kila mtu akawa anaweza print remotely kwa kutumia kifaa chake laptop au simu....unaweza Google for more detailed info.