4U (siyo 4R) za Rais Samia zitaliangamiza lile kundi la CCM toka kanda pendwa

Ahsante kwa taarifa, tutayafanyia kazi.
 
Huyu mama bado mnamfatilIia ..mimi nimeshaampuzia siku nyingi
 
Toka mwanzo tulisema huyo mama ni tapeli, lakini akina Mbowe wakaingia kichwa kichwa. Lengo la kuwapumbaza wapinzani ilikuwa ni Ili atawale bila pressure toka kwa wapinzani.
Mbowe wala hana shida naye kwa kuwa ndio aliyempa kisingizio cha kuipokea ruzuku waliyokuwa wameisusia kishikaji huku roho inauma
 
Kazi kwelikweli!.
 
Toka mwanzo tulisema huyo mama ni tapeli, lakini akina Mbowe wakaingia kichwa kichwa. Lengo la kuwapumbaza wapinzani ilikuwa ni Ili atawale bila pressure toka kwa wapinzani.
Mbowe out, kwa kuingia kichwa kichwa ✌️
 
We mpumbavu hakuna kanda pendwa nchi hii usituletee maubaguzi yenu ya kipuuzi. Huo upuuzi amekufanao yule msukuma mshamba.
 
Join the chain ni michapngo ya hiari ya wanachama elewa Hilo.Hapa tunazungumzia ufisadi wa Kodi zetu
 
Mbowe wala hana shida naye kwa kuwa ndio aliyempa kisingizio cha kuipokea ruzuku waliyokuwa wameisusia kishikaji huku roho inauma
Ruzuku ya 100m@month nayo ni kitu Cha maana?
 
Toka mwanzo tulisema huyo mama ni tapeli, lakini akina Mbowe wakaingia kichwa kichwa. Lengo la kuwapumbaza wapinzani ilikuwa ni Ili atawale bila pressure toka kwa wapinzani.

Tatizo huwa hatuambiliki, hatushauriki Wala hatujifunzi.

Na Bado kama Congo tutawenda kwenye uchguzi mkuu bila Katiba mpya na wagombea 20+ wa urais, kulalamika baadaye kuibiwa kura.

Tuko kama tumerogwa!
 
Tatizo huwa hatuambiliki, hatushauriki Wala hatujifunzi.

Na Bado kama Congo tutawenda kwenye uchguzi mkuu bila Katiba mpya na wagombea 20+ was urais, kulalamika baadaye kuibiwa kura.

Tuko kama tumerogwa!
Kabisa, japo hata hivyo wanaolalamikaga kuibiwa kura havizidi vyama viwili. Hivyo vingine havina Cha kuibiwa, na vingine vipo kama bortion tu ya ccm.
 
Kabisa, japo hata hivyo wanaolalamikaga kuibiwa kura havizidi vyama viwili. Hivyo vingine havina Cha kuibiwa, na vingine vipo kama bortion tu ya ccm.

1. Hili la kudhania sisi ndivyo halisi wale ni bortion kama usemavyo laweza kuwa ya nyani kutoona kundule.

2. Bila kuzidhibiti ramli chonganishi vyamani tungali na safari ndefu.

3. Bila falsafa za vyama kueleweka, kuaminika na kuwa na misimamo isiyotetereka, bado tupo tupo sana.
 
🤣🤣🤣
 
Kitu nimegundua watanzania wengi wanapenda kuibiwa/kupigwa. Wanafurahia ufisadi/wizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…