Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ningekuwa mzee na pesa kama marehemu Mengi usingechomoa weweNataka vijana wenzangu age 40 kushuka chini
Narudia tena! Nataka vijana wenzangu wenye upendo wa kweli, wanaojitambua!Ningekuwa mzee na pesa kama marehemu Mengi usingechomoa wewe
Hamna kitu wewe ningekuwa kama Mengi na uzee huu usingechomoa. 50 Cent kasema ukweli kabisa.Narudia tena! Nataka vijana wenzangu wenye upendo wa kweli, wanaojitambua!
Wewe unajitambua ila ndo hivyo age imekutupa mkono🤸
Mjadala uishe! Shikamoo babu nilisahau kukuamkiaHamna kitu wewe ningekuwa kama Mengi na uzee huu usingechomoa. 50 Cent kasema ukweli kabisa.
Nimeumia sana, marhaba mjukuu wangu,mjadala umeisha.Mjadala uishe! Shikamoo babu nilisahau kukuamkia
Alishafanyiwa akajichenga akashinda kesi.Yupo sahihi 💯
Kwa situation hiyo basi 50cent huenda akakwepa misako kama walivyofanyiwa R. Kelly na P. Diddy.
Nyani Ngabu na Kiranga nipelekeeni ujumbe kwa 50cent kuwa endelee kukaza.
Ebhana eee! Hongera zake, bora ale bata.Alishafanyiwa akajichenga akashinda kesi.
Mwanamke alitoka patupu.
50 ndio kuibuka na mihela yoote mpk kesho bata tu.
Madem kafunga vioo.
Yaah anakula bata kweli,ni kupiga mzigo then bata.Ebhana eee! Hongera zake, bora ale bata.
Nimempenda 50cent bure..!🤸
Mwanamke ni chombo cha starehe sasa kama yeye alikuwa anasaka upendo imekula kwake 🤣🤣🤣🤣Mbona hilo linajulikani!
Ova
ChaiSidhani kama kuna kiumbe aliyetoka ubavuni mwa Adamu akawa hana standards zake!!
Kila mtu anazo,, ila za mwanamke tu ndiyo zinachukuliwa negative.
Usiogope mrembo! Hizo ni mvi za ukoo. Zilianza tangu nikiwa sekondari pale Tambaza.Akuuh! Mvi zote hizo uwe na 35? Sidanganyiki🤸
Vipi ciara yupo wapi?Alishafanyiwa akajichenga akashinda kesi.
Mwanamke alitoka patupu.
50 ndio kuibuka na mihela yoote mpk kesho bata tu.
Madem kafunga vioo.
Kumbe umesoma Tambaza kwa wakishuaUsiogope mrembo! Hizo ni mvi za ukoo. Zilianza tangu nikiwa sekondari pale Tambaza.
Standard za kutumia shimo la bure kupata pesa kwani unafikiri we kwa njaa zako 50cent anaweza akaamini kweli unampenda kama sio unataka simu ya jicho tatuSidhani kama kuna kiumbe aliyetoka ubavuni mwa Adamu akawa hana standards zake!!
Kila mtu anazo,, ila za mwanamke tu ndiyo zinachukuliwa negative.