50 People Who Are Screwing Up Tanzania

50 People Who Are Screwing Up Tanzania

Status
Not open for further replies.
Idea ilikuwa nzuri. Maana hii thread ya tangu 2009! Sasa imechakachuliwa,na inaanza kupoteza maana...
 
wandugu amini nawaambia hakuna mtu anayeiumiza nchi hii kama DPP - ELIAZA FELESHA, huyu ndio yuko responsible na kuwapeleka mahakamani mafisadi na wahujumu uchumi, rumors has it that ofisini kwake ana ma file kibao kutoka pccb ya watuhumiwa awapeleke mahakamani lakini kigezo chake ni kwamba hayajitoshelezi ushahidi na ukipeleka mahakamani kama yalivyo serikali inaweza shindwa kesi na fidia tutayodaiwa itakua kubwa!
 
Baada ya Invisible kuweka kitabu cha "100 People Who Are Screwing Up America" nimekuja kugundua kuwa watu wengi walitaka tuwe na list ya walau watu 50 wanaoivuruga nchi.

Tukiweza kuweka list itapendeza kuwajua wabaya wa taifa letu (walau 50). Namaanisha wale wanaolifanya taifa letu liendelee kuishi katika hali duni na watu wake huku wakijinufaisha wao na wenzao wachache na wale wanaolichafua taifa mbele za mataifa jirani na kuharibu mitizamo (vision) kwa ajili ya watoto wetu na vizazi vijavyo.

Tunaweza kuwataja bila uonevu?

Tiyari wafuatao walishaanza kutajwa:

  1. Rostam Azziz
  2. Edward Lowassa
  3. Abdulrahman Kinana
  4. Andrew Chenge
  5. Idris Rashid,
  6. Nazir Karamagi,
  7. Gray Mgonja,
  8. Basil Mramba,
  9. Daniel Yona,
  10. Peter Noni,
  11. Nimrod Mkono,
  12. Subash Patel
  13. Yusuf Manji
  14. Anna Mkapa
  15. Johson Lukaza
  16. Vincent Mrisho
  17. Frederick Sumaye
  18. Omari Mahita
  19. Jeetu Patel
  20. Sir Andy Chande
  21. Amatus Liyumba
  22. Emmanuel Nchimbi
  23. Shailesh Vithlani
  24. Tanil Somaiya
  25. Eric Shigongo
  26. Patrick Rutabanzibwa
  27. Felix Mrema (Arusha)
  28. Laurence Masha
  29. David Mattaka
  30. Kingunge Ngombare Mwiru
  31. Mark Manji & Sadiki Muze (hawa wamepelekea ATCL kufikia ICU)
  32. Malegesi Advocates
  33. Ringo Advocates
  34. Cleopa David Msuya
  35. Prof. Mkandara (UDSM)
  36. Maria Kejo
  37. Apson Mwang'onda
  38. Dr Edward Hosea - PCCB
  39. Ferdinand Ruhinda
  40. George Lauwo (TRA Customs)
  41. Cpt. John Chiligati
  42. Costa Mahalu
  43. James Sinclair
  44. Pius Msekwa
  45. Alex Massawe
  46. Zakhia Meghji
  47. Joseph Mungai
  48. Abdallah Kigoda
  49. Yusufu Makamba
  50. Sheikh Yahya Hussein
Tuendeleze list

NOTE: Marais wote kuanzia Mwalimu Nyerere pamoja na raia wote tunahusika kwa namna moja ama nyingine.

Can this being updated please??
I think we have to add and remove some from the list.
 
ASANTE SANA MKUU,
Duuu kumbe sisi wengine watoto wa umri, lakini kama ikibidi kuwapiga kwa mawe kama walivyo fanya kaka zetu kule Musoma TUTAFANYA TU,naomba utusaidie tuwajue angalau kwa mstari mmoja wenye kujieleza kama ulivyofanya"Mark Manji & Sadiki Muze (hawa wamepelekea ATCL kufikia ICU)
Mimi naomba niorodheshwe kwenye mgambo wa kujitolewa siku ikifika nielezwe tu,mimi
Abdulrahman Kinana n i mjomba wangu lakini siku ikifika nitaongoza twende kwenye maficho yake yoye.(ILI VIZAZI VIJAVYO VIWE NA MAJI SAFI YAKUNYWA WASIWE NA MGAO WA UMEME NA WAWE NA CHAKULA,LAZIMA TUWEPO VULNTEER WA KUUNGANA NA KINA T.LISSU NA KINA ZITTO KABWE)NINAKERWA KWELI, WATU WANAIBA PESA YA NCHI HALAFU WANATUTSA NAYO-YAANI NGOJA TU SIKU IKO,TUTABEBA MAWE NCHI NZIMA)
Naomba kwenye kufafanuliwa nielezwe hawa walifanya nini?
Sir Andy Chande, Sheikh Yahya Hussein
James Sinclair

Patrick Rutabanzibwa
Vincent Mrisho
:bange: MUNGU IBARIKI TANZANIA TUSINYANYUE MAWE.

mkuu kwa sheikh yahya marehem ye alikuw anatumika kwa propaganda.ANDY Chande huyo ndo Godfather wa Capo Regime za wahindi wote ambao ni wa miliki wa Capo Regimes hapa nchi
 
The buck stops with us, the people. We are the ones who are screwing up our own country by electing these fools who don't know what the heck they are doing up there. These people didn't appoint themselves to be in those positions.

Every five years we get a chance to assess, evaluate, and examine the perfomance of our existing leaders and scrutinize the record of the potential ones. I can confidently say that we do an abysmal job in doing so.

In any other sophisticated society, none of these fisadis would be re-elected into office. But what can I say about us...well...you already know.


Mkuu unachosema ni kweli tupu, ila Watanzania walio wengi tayari wameamka na wanajitahidi kila baada ya miaka mitano kupiga kura za "No" kwa viongozi wabovu. Tatizo ni kuwa kwa sababu wana pesa, wanaiba kura na kujirudisha tena madarakani. Hata kwenye chaguzi mbali mbali, bado haya majamaa yanafanya usanii na kuingiza watu wao kama walivyofanya kwenye chaguzi za 'tawala' zilizomalika juzi ....

Inanisikitisha, sijui tuanze kujilipua nao?!
 
Zitto Kabwe
Ibrahim Lipumba
Mustafa Mkullo


Mustafa Mkulo kiboko, yaani huyu pamoja na kuwajibishwa bado maisha yake ni ya juu balaa, Ana mtoto wa kiume kaoa hana kazi wala biashara, ila yuko juu kimaisha, anabadilisha magari tu. Ana mtoto mwingine binti mjinga mjinga mmoja hivi, kwa jinsi mahela ya wizi yalivyomchanganya mpaka kaacha kazi, anabadilisha magari tu mjini hapa, hana kazi wala biashara. Kaolewa ndoa ya pili na mjinga mjinga mwenzie alietelekeza familia yake, sasa anajuta, anaendeshwa kama bushoke........................ watoto wengine wako nje ya nchi wanaishi maisha makubwa zaidi ya mtu anaefanya kazi. Hiyo ndo Tanzania yet inavyomalizwa
 
Mustafa Mkulo kiboko, yaani huyu pamoja na kuwajibishwa bado maisha yake ni ya juu balaa, Ana mtoto wa kiume kaoa hana kazi wala biashara, ila yuko juu kimaisha, anabadilisha magari tu. Ana mtoto mwingine binti mjinga mjinga mmoja hivi, kwa jinsi mahela ya wizi yalivyomchanganya mpaka kaacha kazi, anabadilisha magari tu mjini hapa, hana kazi wala biashara. Kaolewa ndoa ya pili na mjinga mjinga mwenzie alietelekeza familia yake, sasa anajuta, anaendeshwa kama bushoke........................ watoto wengine wako nje ya nchi wanaishi maisha makubwa zaidi ya mtu anaefanya kazi. Hiyo ndo Tanzania yet inavyomalizwa[/B]

Nikisikia haya napata hasira kali na maumivu makali mwili mzima
 
umemsahau vicent mark laway mmiliki wa kibo palace hotel arusha ambaye yuko share na mramba
 
Mustafa Mkulo kiboko, yaani huyu pamoja na kuwajibishwa bado maisha yake ni ya juu balaa, Ana mtoto wa kiume kaoa hana kazi wala biashara, ila yuko juu kimaisha, anabadilisha magari tu. Ana mtoto mwingine binti mjinga mjinga mmoja hivi, kwa jinsi mahela ya wizi yalivyomchanganya mpaka kaacha kazi, anabadilisha magari tu mjini hapa, hana kazi wala biashara. Kaolewa ndoa ya pili na mjinga mjinga mwenzie alietelekeza familia yake, sasa anajuta, anaendeshwa kama bushoke........................ watoto wengine wako nje ya nchi wanaishi maisha makubwa zaidi ya mtu anaefanya kazi. Hiyo ndo Tanzania yet inavyomalizwa[/B]

mkuu umeamsha hisia zangu, mpaka natukana mwenyewe afu kwa saut...duu
 
Baada ya Invisible kuweka kitabu cha "100 People Who Are Screwing Up America" nimekuja kugundua kuwa watu wengi walitaka tuwe na list ya walau watu 50 wanaoivuruga nchi.

Tukiweza kuweka list itapendeza kuwajua wabaya wa taifa letu (walau 50). Namaanisha wale wanaolifanya taifa letu liendelee kuishi katika hali duni na watu wake huku wakijinufaisha wao na wenzao wachache na wale wanaolichafua taifa mbele za mataifa jirani na kuharibu mitizamo (vision) kwa ajili ya watoto wetu na vizazi vijavyo.

Tunaweza kuwataja bila uonevu?

Tiyari wafuatao walishaanza kutajwa:

  1. Rostam Azziz
  2. Edward Lowassa
  3. Abdulrahman Kinana
  4. Andrew Chenge
  5. Idris Rashid,
  6. Nazir Karamagi,
  7. Gray Mgonja,
  8. Basil Mramba,
  9. Daniel Yona,
  10. Peter Noni,
  11. Nimrod Mkono,
  12. Subash Patel
  13. Yusuf Manji
  14. Anna Mkapa
  15. Johson Lukaza
  16. Vincent Mrisho
  17. Frederick Sumaye
  18. Omari Mahita
  19. Jeetu Patel
  20. Sir Andy Chande
  21. Amatus Liyumba
  22. Emmanuel Nchimbi
  23. Shailesh Vithlani
  24. Tanil Somaiya
  25. Eric Shigongo
  26. Patrick Rutabanzibwa
  27. Felix Mrema (Arusha)
  28. Laurence Masha
  29. David Mattaka
  30. Kingunge Ngombare Mwiru
  31. Mark Manji & Sadiki Muze (hawa wamepelekea ATCL kufikia ICU)
  32. Malegesi Advocates
  33. Ringo Advocates
  34. Cleopa David Msuya
  35. Prof. Mkandara (UDSM)
  36. Maria Kejo
  37. Apson Mwang'onda
  38. Dr Edward Hosea - PCCB
  39. Ferdinand Ruhinda
  40. George Lauwo (TRA Customs)
  41. Cpt. John Chiligati
  42. Costa Mahalu
  43. James Sinclair
  44. Pius Msekwa
  45. Alex Massawe
  46. Zakhia Meghji
  47. Joseph Mungai
  48. Abdallah Kigoda
  49. Yusufu Makamba
  50. Sheikh Yahya Hussein
Tuendeleze list

NOTE: Marais wote kuanzia Mwalimu Nyerere pamoja na raia wote tunahusika kwa namna moja ama nyingine.

wachawi walotumaza ni
  • ifm
  • world bank
  • BOT
  • BARICK GOLD
  • ASHANTI
  • SONGAS GAS
  • TPDC-TIPPER
  • NBC--BEI POA SALE AND BOFORE SALE OF ---MIKOPO ILIYOCHUKULIWA BILA YA KUREJESHWA
  • NIC -BIMA-MUFLIS BECAUSE OF UKABILA-ISATION
  • BODI YA KATANI
  • BODI YA PAMBA
  • USHIRIKA
  • ATC
  • NHC
  • ILIYOKUWA MSAJILI WA MAJUMBA
  • ASHANTI GOLD
  • NA KUBWA NI SIASA MBOVU ZA UJAMAA NA UJIMA
  • ELIMU YA KUANZIA PRIMARTY NA SECONDARY
  • ELIMU DUNI YA VYUO VIKUU---HATUNA MPKA LEO MIAKA 51 YA UHURU MABINGWA WALIO BOBEA KATIKA FANI ZA UCHUMI, FEDHA, MANAGEMENT,ACTUARIAST....KUNA WAPIGA KELELE TU
  • UVIVU NA KUBWETEKA...KUSUBIRI WAFADHILI
  • FIKRA ZA KALE ZA ZIDUMU....
KAMA TAIFA TUNAPASWA KUWA NA WIVU WA MAENDELEO.....NA TAIFA LINA HITAJI MAJOR OVER HAUL.....KWENYE KILA SECTA NA KATIKA FIKRA NA MWELEKEO WA RAIA....
YUJUE NINI TUNATAKA WAPI TANATAKA TWENDE NA NCHI GANI IWE NDIO ROLE MODEL YETU
KUTAJA WATU MMOJA MMOJA NA KUWATIA HUKUMU KWAMBA WAO NDIO WALO TUFIKISHA KWENYE WIMBI LA UMASKINI NI UFINYU WA AKILI NA NI MATOKEO YA ELIMU YETU
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom