rakeyescarl
JF-Expert Member
- Dec 9, 2007
- 481
- 147
ASANTE SANA MKUU,
Duuu kumbe sisi wengine watoto wa umri, lakini kama ikibidi kuwapiga kwa mawe kama walivyo fanya kaka zetu kule Musoma TUTAFANYA TU,naomba utusaidie tuwajue angalau kwa mstari mmoja wenye kujieleza kama ulivyofanya"Mark Manji & Sadiki Muze (hawa wamepelekea ATCL kufikia ICU)
Mimi naomba niorodheshwe kwenye mgambo wa kujitolewa siku ikifika nielezwe tu,mimi Abdulrahman Kinana n i mjomba wangu lakini siku ikifika nitaongoza twende kwenye maficho yake yoye.(ILI VIZAZI VIJAVYO VIWE NA MAJI SAFI YAKUNYWA WASIWE NA MGAO WA UMEME NA WAWE NA CHAKULA,LAZIMA TUWEPO VULNTEER WA KUUNGANA NA KINA T.LISSU NA KINA ZITTO KABWE)NINAKERWA KWELI, WATU WANAIBA PESA YA NCHI HALAFU WANATUTSA NAYO-YAANI NGOJA TU SIKU IKO,TUTABEBA MAWE NCHI NZIMA)
Naomba kwenye kufafanuliwa nielezwe hawa walifanya nini?
Sir Andy Chande, Sheikh Yahya Hussein
James Sinclair
Patrick Rutabanzibwa
Vincent Mrisho
:bange: MUNGU IBARIKI TANZANIA TUSINYANYUE MAWE.