50 People Who Are Screwing Up Tanzania

50 People Who Are Screwing Up Tanzania

Status
Not open for further replies.
Mama weeee!

NAMBA MOJA: JK

yani umewasahau Rajabu Kiravu na Lewisi makame?? Hawa ndo waliotuwekea huu uozo.

Halafu muongeze Tenwa na Lipumba kwa (Unafiki). bila lipumba tungekuwa tayari tuna katiba ya watanzania.

Zakia meghji
Zito kabwe
Augustino Lyatonga Mrema
Juma kapuya

we jamaa naitafuta thanks nikugongee siipati..hebu kula tano na senki yuu itafuata...ur right kabisa..
 
Baada ya Invisible kuweka kitabu cha "100 People Who Are Screwing Up America" nimekuja kugundua kuwa watu wengi walitaka tuwe na list ya walau watu 50 wanaoivuruga nchi.

Tukiweza kuweka list itapendeza kuwajua wabaya wa taifa letu (walau 50). Namaanisha wale wanaolifanya taifa letu liendelee kuishi katika hali duni na watu wake huku wakijinufaisha wao na wenzao wachache na wale wanaolichafua taifa mbele za mataifa jirani na kuharibu mitizamo (vision) kwa ajili ya watoto wetu na vizazi vijavyo.

Tunaweza kuwataja bila uonevu?

Tiyari wafuatao walishaanza kutajwa:

  1. Rostam Azziz
  2. Edward Lowassa
  3. Abdulrahman Kinana
  4. Andrew Chenge
  5. Idris Rashid,
  6. Nazir Karamagi,
  7. Gray Mgonja,
  8. Basil Mramba,
  9. Daniel Yona,
  10. Peter Noni,
  11. Nimrod Mkono,
  12. Subash Patel
  13. Yusuf Manji
  14. Anna Mkapa
  15. Johson Lukaza
  16. Vincent Mrisho
  17. Frederick Sumaye
  18. Omari Mahita
  19. Jeetu Patel
  20. Sir Andy Chande
  21. Amatus Liyumba
  22. Emmanuel Nchimbi
  23. Shailesh Vithlani
  24. Tanil Somaiya
  25. Eric Shigongo
  26. Patrick Rutabanzibwa
  27. Felix Mrema (Arusha)
  28. Laurence Masha
  29. David Mattaka
  30. Kingunge Ngombare Mwiru
  31. Mark Manji & Sadiki Muze (hawa wamepelekea ATCL kufikia ICU)
  32. Malegesi Advocates
  33. Ringo Advocates
  34. Cleopa David Msuya
  35. Prof. Mkandara (UDSM)
  36. Maria Kejo
  37. Apson Mwang'onda
  38. Dr Edward Hosea - PCCB
  39. Ferdinand Ruhinda
  40. George Lauwo (TRA Customs)
  41. Cpt. John Chiligati
  42. Costa Mahalu
  43. James Sinclair
  44. Pius Msekwa
  45. Alex Massawe
  46. Zakhia Meghji
  47. Joseph Mungai
  48. Abdallah Kigoda
  49. Yusufu Makamba
  50. Sheikh Yahya Hussein
Tuendeleze list

NOTE: Marais wote kuanzia Mwalimu Nyerere pamoja na raia wote tunahusika kwa namna moja ama nyingine.

hapo 35.

bora kumuweka yule Dr. Njaa. Dr. Bana.

profesa ninamuamini sana.

sema hana namna kwa sababu analinda kitumbua chake.
 
Ahaaaaaa kumbe mchwa wa bongo ndiyo hao ! ebu sasa ndugu uliyewataja au yeyote yule atutajia mmoja mmoja na dhambi zake ili jamii iwatambue na kwa ubaya wao...ahsante kwa orodha yako

 
HII LIST JAMANI IMEJAA WAKRSTO WATUpU NAHISI ALIYEPOST HII NI MUISLAM WATU KAMA WAFUATAO AMEWAACHA MAKUSUDI

JAKAYA MRISHO KIKWETE
MAMA SALMA KIKWETE
ALLY HASSAN MWINYI
BIBI SITTI MWINYI
HUSSEIN MWINYI
OMARY MZEE
ASHA ROSE MIGIRO
ASHA KIGODA
ANNA ABDALAAH
HAMISI KAGASHEKI
OTHMAN CHANDE MKUBWA
OTHMAN CHANDE MDOGO
ABEID KARUME
ALLI SHEIN
IBRAHIM LIPUMBA
SHARIF HAMAD


JAMANI MBONA WAISLAM WAKO TELE TUUUU WATAJENI
 
IGP SAIDI MWEMA
SHAMSI VUAI NAHODHA
SHUKURU KAWAMBWA
JUMANNE MAGEMBE

HEEE jAMAAAAAAAAAA HWA WOTE HAUJA WAONA????????
 
Mohamed dewji
yusuph manji
zakia mengji
shairos banji
ss bahresa
kinjekitile kingunge ngombale mwiru
abdul azizi
mohamed abood
sophia simba
 
Mohamed dewji
yusuph manji
zakia mengji
shairos banji
ss bahresa
kinjekitile kingunge ngombale mwiru
abdul azizi
mohamed abood
sophia simba

kweli kabisa huyu jamaa mbona hawa wote hajawaona

waislam wako kibao

Zitto Kabwe
Ibrahim Lipumba
Dr Bilali
 
Usizunguke zunguke sana, ukitaka kuua mtandao wa kifisadi nchini huyo number 1 (Engineer wa Kagoda Project) ndiyo wa kupewa masaa 24 arudi kwao uarabuni kwa mjomba wake, kumfilisi kwa kufunga account zake zote.

ili iwe fundisho kwa wenzake.
 
Nafikiri kiungwana na bila majungu na itikadi binafsi ni bora tukaelezwa watu hao wanaharibu nchi yetu kivipi kama aliyewaelezea watu wa tume ya uchaguzi. Nasema hivi kwasababu hata mimi kwa kutowajibika ipasavyo kazini akija mteja namwacha anasugua bench nawasiliana na mafariki au nakagua blogs, naacha mama mjamzito anafia mapokezi, naingia na kutoka kazini muda usiomuafaka, nasukuma watu kwenye kifo huko nikichukua mwavuli wa kiongozi wa chama fulani au mwanaharakati, nachua fedha za wafadhili kuwasaidia wasiojiweza kumbe najengea mahekalu haya yote naharibu nchi hivyo nastahili kuwekwa kwenye list. Tafadhali tupeni mwelekeo au maudhui au sifa za anayepaswa kuingia kwenye list
 
Hao ndo top 50 japo kuna wengi wanaua kimya kimya na wana haya na camera za waandishi hamjawataja...
 
Umesahau wengine :- 51. Mwakyeme
52. Malecela
53. Anna Kilango
54. Dr Slaa
55. Mengi
56. Na Spika wa Bunge zamani.


LIST INAENDELEA..................
 
57. Mwakyembe ( slow poison )
58.

List iendelee..................
 
Mwisho tutajikuta tunajitaja hata sisi wenyewe
 
Wengine wapo kwenye listi bila kujua sababu zao...nafikiri wengine wameongezwa kimajugu
 
We need a new list with valid accusations/reasons, sio majungu na chuki binafsi zinazoletwa na one person that might have his/her own agendas

Kusema uongo na kumzulia mtu mambo ya uongo sio uadilifu, na sisi tutahukumiwa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom