50 People Who Are Screwing Up Tanzania

50 People Who Are Screwing Up Tanzania

Status
Not open for further replies.
Mama weeee!

NAMBA MOJA: JK

yani umewasahau Rajabu Kiravu na Lewisi makame?? Hawa ndo waliotuwekea huu uozo.

Halafu muongeze Tenwa na Lipumba kwa (Unafiki). bila lipumba tungekuwa tayari tuna katiba ya watanzania.

Zakia meghji
Zito kabwe
Augustino Lyatonga Mrema
Juma kapuya
 
Kiranja mkuu ndo mwiba. Akitaka katiba mpya hata kesho inaandikwa, akina Slaa Phd walisema rasimu ya katiba wanayo. Kiranja awaombe ageleze asione aibu. Hawa Ghasia, first lady, waongezwe!
 
Aliyeifikisha pabaya Tanzania namba 1 ni Nyerere, hao wote uliowataja ni mazungumzo baada ya habari. Habari Kamili ni NYERERE.
 
The buck stops with us, the people. We are the ones who are screwing up our own country by electing these fools who don't know what the heck they are doing up there. These people didn't appoint themselves to be in those positions.

Every five years we get a chance to assess, evaluate, and examine the perfomance of our existing leaders and scrutinize the record of the potential ones. I can confidently say that we do an abysmal job in doing so.

In any other sophisticated society, none of these fisadis would be re-elected into office. But what can I say about us...well...you already know.



Kaka, hatukuwachagua hao na kama. Ungekuwepo kipindi cha uchaguzi ungethibitisha kabisa uchakachuaji. A new katiba is coming
 
Sitaki kuamini ilo kuwa ama watu wazuri CCM au watu wabaya CHADEMA.Ila ukweli i kwamba ukiwa FISADI huwezi kuwa upinzani ukasurvive ata kwa sekunde moja.



Labda kama utakuwa mmoja wao. Mshahara laki tano na huna kazi nyingine ya halali labda kuuza unga. Lakini nyumba za kifahari tano , account zako benki zimenona na magari kibao. Tuache kukuita fisadi kwa kuwa uko ccm!
 
du wakuu awa jamaa si wanaishi na watu mjini hapa kwanini tusitafute wasomali wa kujitoa mhanga tuanze kuchangisha pesa hapa jamvini
 
All CCM members,all INDIANS,All ex mayors esp salum nonda he sold all open spaces in kndoni,all polices
 
Baada ya Invisible kuweka kitabu cha "100 People Who Are Screwing Up America" nimekuja kugundua kuwa watu wengi walitaka tuwe na list ya walau watu 50 wanaoivuruga nchi.

Tukiweza kuweka list itapendeza kuwajua wabaya wa taifa letu (walau 50). Namaanisha wale wanaolifanya taifa letu liendelee kuishi katika hali duni na watu wake huku wakijinufaisha wao na wenzao wachache na wale wanaolichafua taifa mbele za mataifa jirani na kuharibu mitizamo (vision) kwa ajili ya watoto wetu na vizazi vijavyo.

Tunaweza kuwataja bila uonevu?

Tiyari wafuatao walishaanza kutajwa:

  1. Rostam Azziz
  2. Edward Lowassa
  3. Abdulrahman Kinana
  4. Andrew Chenge
  5. Idris Rashid,
  6. Nazir Karamagi,
  7. Gray Mgonja,
  8. Basil Mramba,
  9. Daniel Yona,
  10. Peter Noni,
  11. Nimrod Mkono,
  12. Subash Patel
  13. Yusuf Manji
  14. Anna Mkapa
  15. Johson Lukaza
  16. Vincent Mrisho
  17. Frederick Sumaye
  18. Omari Mahita
  19. Jeetu Patel
  20. Sir Andy Chande
  21. Amatus Liyumba
  22. Emmanuel Nchimbi
  23. Shailesh Vithlani
  24. Tanil Somaiya
  25. Eric Shigongo
  26. Patrick Rutabanzibwa
  27. Felix Mrema (Arusha)
  28. Laurence Masha
  29. David Mattaka
  30. Kingunge Ngombare Mwiru
  31. Mark Manji & Sadiki Muze (hawa wamepelekea ATCL kufikia ICU)
  32. Malegesi Advocates
  33. Ringo Advocates
  34. Cleopa David Msuya
  35. Prof. Mkandara (UDSM)
  36. Maria Kejo
  37. Apson Mwang'onda
  38. Dr Edward Hosea - PCCB
  39. Ferdinand Ruhinda
  40. George Lauwo (TRA Customs)
  41. Cpt. John Chiligati
  42. Costa Mahalu
  43. James Sinclair
  44. Pius Msekwa
  45. Alex Massawe
  46. Zakhia Meghji
  47. Joseph Mungai
  48. Abdallah Kigoda
  49. Yusufu Makamba
  50. Sheikh Yahya Hussein
Tuendeleze list

NOTE: Marais wote kuanzia Mwalimu Nyerere pamoja na raia wote tunahusika kwa namna moja ama nyingine.

mbona mimi hukunitaja?
 
Jamani kuna don mmoja naona mmemsahau...!

Hawa ni Nimrod Mkono huyu jamaa ni balaa na hatari kabisa.

Pili kuna Mama Maria Kejo. Huyu mikataba yoote mibovu iliofikisha taifa hapa imepitia mkwenye mikono yake mitukufu...!

 
Tulioifikisha nchi yetu hapa ilipo ni watanzania wenyewe na siyo watu 50 kama unavyotaka tuamini. Nimeona watu wanaanza kuongelea wahindi hapa na muda siyo mrefu utasikia makabila mengine yakiingizwa. Viongozi waliopo wanawakilisha tu tabia zetu kama watanzania kwa ujumla. Kama ni rushwa na ufisadi watanzania wanaipenda na kuikubali na ndio maana imeshamiri. Sijawahi kusikia mla rushwa, fisadi na hata jambazi ametengwa na jamii sana sana utasikia mara amekuwa diwani, mbunge na waziri na kila anapohdhuria shughuli za kijamii huwa anapewa viti vya mbele kwa heshima zote.
 
All Indians

I don't like this kind of stereotyping. Hawa wahindi wako wangapi nchi hii? ni wangapi wako serikalini na kwenye mashirika ya umma? Je hao wanaofanya nao biashara ni wahindi pia? F****lish!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
CMzindakaya??na madini ya NBC??Ahase Kitiine??Sir George Kahama na ushirika??Mboma??chenkapa??
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom