50 People Who Are Screwing Up Tanzania

50 People Who Are Screwing Up Tanzania

Status
Not open for further replies.
Yaani tanzania ukishakuwa kiongozi tu tena ukiwa ccm ndio balaa wewe fisadi na majina yote mabaya ukiwa chadema wewe ni mzalendo mpigania haki ya wanyonge jemedari

Sitaki kuamini ilo kuwa ama watu wazuri CCM au watu wabaya CHADEMA.Ila ukweli i kwamba ukiwa FISADI huwezi kuwa upinzani ukasurvive ata kwa sekunde moja.
 
Wafanyakazi wa Serikali wengi sanaaaaa they are screwing our Country in different ways.
 
Ni vuzuri kujua those screwing up Tanzania, lakini we have to do with a very great care my brothers and sisters.
Tunatakiwa kujua vigezo amabavyo vimetumika kuwaanisha hao watu 50 kati ya watu million 40 Tanzania.Maana bila kuweka vigezo itakuwa tunajadili majungu tu hapa na naamini kujadidili majungu hayataweza kutufikisha popote, ukizingitia kuwa This is the home of Great Thinkers.So Mtumishi Tunahitaji uweke hapa vigezo vyako ili tuweza kujadili hii maada kwa uwazi na bila kumuonea mtu yeyote.Tanzania itajengwa na watu wenye fikra pevu na wala siyo watu wanaopenda mambo mepesi mepesi na majungu.

Hii nimeipenda, post nilizosoma hapa zimejaa ushabiki na majungu..Mtumishi na wewe unaweza kuingia katika hiyo list kama utakua unawataja watu bila vigezo (screwing people here)
 
Hawa jamaa wamesaliti dhamira yao, wamewasaliti watu wao, wamekisaliti chama chao, wameisaliti serikali na wameisaliti nchi yao. Ingekuwa China adhabu yao ni kitanzi tu au shaba.
 
mkuu wa tume ya uchaguzi, Mkurugenzi mkuu wa makosa ya jinai,
Jaji mkuu ( kwa maana ya kuruhusu hukumu za kijinga kijinga kupitishwa hapo )
Adam Kimbisa
 
mkuu wa tume ya uchaguzi, Mkurugenzi mkuu wa makosa ya jinai,
Jaji mkuu ( kwa maana ya kuruhusu hukumu za kijinga kijinga kupitishwa hapo )
Adam Kimbisa

hiyo list inaweza kuendelea na kuendelea kuna wengi sana hawana uchungu na nchi hii...
 
sijamuona feleshi mzee wa kukataa kushtaki watu uyu director of public prosecution, i am not sure about shigongo, i think he just own a media company, whats wrong has he done?
 
Baada ya Invisible kuweka kitabu cha "100 People Who Are Screwing Up America" nimekuja kugundua kuwa watu wengi walitaka tuwe na list ya walau watu 50 wanaoivuruga nchi.

Tukiweza kuweka list itapendeza kuwajua wabaya wa taifa letu (walau 50). Namaanisha wale wanaolifanya taifa letu liendelee kuishi katika hali duni na watu wake huku wakijinufaisha wao na wenzao wachache na wale wanaolichafua taifa mbele za mataifa jirani na kuharibu mitizamo (vision) kwa ajili ya watoto wetu na vizazi vijavyo.

Tunaweza kuwataja bila uonevu?

Tiyari wafuatao walishaanza kutajwa:

  1. Rostam Azziz
  2. Edward Lowassa
  3. Andrew Chenge
  4. Idris Rashid,
  5. Nazir Karamagi,
  6. Gray Mgonja,
  7. Basil Mramba,
  8. Daniel Yona,
  9. Peter Noni,
  10. Nimrod Mkono,
  11. Subash Patel
  12. Yusuf Manji
  13. Anna Mkapa
  14. Johson Lukaza
  15. Vincent Mrisho
  16. Frederick Sumaye
  17. Omari Mahita
  18. Jeetu Patel
  19. Sir Andy Chande
  20. Amatus Liyumba
  21. Emmanuel Nchimbi
  22. Shailesh Vithlani
  23. Tanil Somaiya
  24. Eric Shigongo
  25. Patrick Rutabanzibwa
  26. Felix Mrema (Arusha)
  27. Laurence Masha
  28. David Mattaka
  29. Kingunge Ngombare Mwiru
  30. Mark Manji & Sadiki Muze (hawa wamepelekea ATCL kufikia ICU)
  31. Malegesi Advocates
  32. Ringo Advocates
  33. Cleopa David Msuya
  34. Prof. Mkandara (UDSM)
  35. Maria Kejo
  36. Apson Mwang'onda
  37. Dr Edward Hosea - PCCB
  38. Ferdinand Ruhinda
  39. George Lauwo (TRA Customs)
  40. Cpt. John Chiligati
  41. Costa Mahalu
  42. James Sinclair
  43. Pius Msekwa
  44. Alex Massawe
  45. Zakhia Meghji
  46. Joseph Mungai
  47. Abdallah Kigoda
  48. Yusufu Makamba
  49. Chrisant Majiyatanga Mzindakaya
Tuendeleze list

NOTE: Marais wote kuanzia Mwalimu Nyerere pamoja na raia wote tunahusika kwa namna moja ama nyingine.

Katika hao wangapi wako jela? na kama mahakama haijasema ni guilty unaanzia kusema hivi kwa vigezo vipi? wananchi wakiwachagua mmoja ya hao watu, je mtaandika list ya jimbo zima la uchaguzi?
 
50. A. Kweka - Project Manager Twin Tower BOT
51. D. Balali - ex governor BOT
 
Nakubaliana na hiyo list.

hao ndiyo wa kufanyiwa kazi kaka na serekali mpya.
 
Well, nimewaweka "watanzania" kwa ujumla wao kuwa ndicho chanzo nambari moja cha matatizo ya taifa letu

I beg to defer we can not be all in the leadership. Tumekasimu madaraka yetu ambao wanatusaliti. Upenyo huu wa uchaguzi ndiyo wakati wetu wa kuwaambia wametusaliti imetosha tushike fagio la chum????
 
Uki calculate jumla ya pesa na asset zao hawa jamaa wote unaweza kuwalisha, kuwatibu, kuwajengea nyumba bora za kawaida na kuwalipia ada watanzania wote nchi nzima kwa Mwaka mzima na chenji wakabakiza. harafu eti mnasema nchi hii maskini -subutuu. Hivi kweli nchi ingekuwa maskini RA na Kina patel mngewaona bongo hii?.
 
Naona uniweke na mimi kwa niaba ya watanzania wote ambao bado wanaendelea kuwaweka madarakani hao top 50
 
Wakuu, hii ingenoga kila mtu akawekewa link ya madhambi yake na wengi wao wana topic humu JF! Lakini pia kwa wanaojua ambayo hayajadiliwa sambamba na utetezi wabandike humu ili kuwatendea haki, kwa maana muovu ahukumiwe na msafi asafishwe.
 
Mtumisha Hii list is not balanced; Gender Balance? am sure there are women in this country who are as screwy as those men in the list. These look like the ones who have been in the news. ila wapo wanawake who shd be here. who is the Tanzanian version of Grace Mugabe/ Winnie Mandela?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom