50 People Who Are Screwing Up Tanzania

Status
Not open for further replies.
Idea ilikuwa nzuri. Maana hii thread ya tangu 2009! Sasa imechakachuliwa,na inaanza kupoteza maana...
 
wandugu amini nawaambia hakuna mtu anayeiumiza nchi hii kama DPP - ELIAZA FELESHA, huyu ndio yuko responsible na kuwapeleka mahakamani mafisadi na wahujumu uchumi, rumors has it that ofisini kwake ana ma file kibao kutoka pccb ya watuhumiwa awapeleke mahakamani lakini kigezo chake ni kwamba hayajitoshelezi ushahidi na ukipeleka mahakamani kama yalivyo serikali inaweza shindwa kesi na fidia tutayodaiwa itakua kubwa!
 

Can this being updated please??
I think we have to add and remove some from the list.
 

mkuu kwa sheikh yahya marehem ye alikuw anatumika kwa propaganda.ANDY Chande huyo ndo Godfather wa Capo Regime za wahindi wote ambao ni wa miliki wa Capo Regimes hapa nchi
 


Mkuu unachosema ni kweli tupu, ila Watanzania walio wengi tayari wameamka na wanajitahidi kila baada ya miaka mitano kupiga kura za "No" kwa viongozi wabovu. Tatizo ni kuwa kwa sababu wana pesa, wanaiba kura na kujirudisha tena madarakani. Hata kwenye chaguzi mbali mbali, bado haya majamaa yanafanya usanii na kuingiza watu wao kama walivyofanya kwenye chaguzi za 'tawala' zilizomalika juzi ....

Inanisikitisha, sijui tuanze kujilipua nao?!
 
Zitto Kabwe
Ibrahim Lipumba
Mustafa Mkullo


Mustafa Mkulo kiboko, yaani huyu pamoja na kuwajibishwa bado maisha yake ni ya juu balaa, Ana mtoto wa kiume kaoa hana kazi wala biashara, ila yuko juu kimaisha, anabadilisha magari tu. Ana mtoto mwingine binti mjinga mjinga mmoja hivi, kwa jinsi mahela ya wizi yalivyomchanganya mpaka kaacha kazi, anabadilisha magari tu mjini hapa, hana kazi wala biashara. Kaolewa ndoa ya pili na mjinga mjinga mwenzie alietelekeza familia yake, sasa anajuta, anaendeshwa kama bushoke........................ watoto wengine wako nje ya nchi wanaishi maisha makubwa zaidi ya mtu anaefanya kazi. Hiyo ndo Tanzania yet inavyomalizwa
 

Nikisikia haya napata hasira kali na maumivu makali mwili mzima
 
umemsahau vicent mark laway mmiliki wa kibo palace hotel arusha ambaye yuko share na mramba
 

mkuu umeamsha hisia zangu, mpaka natukana mwenyewe afu kwa saut...duu
 

wachawi walotumaza ni
  • ifm
  • world bank
  • BOT
  • BARICK GOLD
  • ASHANTI
  • SONGAS GAS
  • TPDC-TIPPER
  • NBC--BEI POA SALE AND BOFORE SALE OF ---MIKOPO ILIYOCHUKULIWA BILA YA KUREJESHWA
  • NIC -BIMA-MUFLIS BECAUSE OF UKABILA-ISATION
  • BODI YA KATANI
  • BODI YA PAMBA
  • USHIRIKA
  • ATC
  • NHC
  • ILIYOKUWA MSAJILI WA MAJUMBA
  • ASHANTI GOLD
  • NA KUBWA NI SIASA MBOVU ZA UJAMAA NA UJIMA
  • ELIMU YA KUANZIA PRIMARTY NA SECONDARY
  • ELIMU DUNI YA VYUO VIKUU---HATUNA MPKA LEO MIAKA 51 YA UHURU MABINGWA WALIO BOBEA KATIKA FANI ZA UCHUMI, FEDHA, MANAGEMENT,ACTUARIAST....KUNA WAPIGA KELELE TU
  • UVIVU NA KUBWETEKA...KUSUBIRI WAFADHILI
  • FIKRA ZA KALE ZA ZIDUMU....
KAMA TAIFA TUNAPASWA KUWA NA WIVU WA MAENDELEO.....NA TAIFA LINA HITAJI MAJOR OVER HAUL.....KWENYE KILA SECTA NA KATIKA FIKRA NA MWELEKEO WA RAIA....
YUJUE NINI TUNATAKA WAPI TANATAKA TWENDE NA NCHI GANI IWE NDIO ROLE MODEL YETU
KUTAJA WATU MMOJA MMOJA NA KUWATIA HUKUMU KWAMBA WAO NDIO WALO TUFIKISHA KWENYE WIMBI LA UMASKINI NI UFINYU WA AKILI NA NI MATOKEO YA ELIMU YETU
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…