50 People Who Are Screwing Up Tanzania

50 People Who Are Screwing Up Tanzania

Status
Not open for further replies.
Sumaye alisahaulika. Who the hell is Vincent Mrisho?
...Former Principal Secretary PMO...!

**Freeman Mbowe, Zakhia Megji, John Komba, Emmanuel Nchimbi, Rtd CDF Rober Mboma...
 
...Former Principal Secretary PMO...!

**Freeman Mbowe, Zakhia Megji, John Komba, Emmanuel Nchimbi, Rtd CDF Rober Mboma...
Mkuu kwenye list yako naona Nchimbi ndiye anastahili kuwepo kwenye list.

Hebu nipe maovu ya hawa kwa kifupi ili Mods waweze kunisaidia kuwaongeza kwenye list:

  1. Mbowe
  2. Meghji
  3. Mboma
  4. Komba
 
Sijui inatumika vigezo gani?, lakini list kama hii yaweza tumika kuchafuana ama kuchafua hata wale wasiokuwepo.

Nadhani kigezo ni kuhusika na ufisadi, kuingia madarakani kwa kubebwa na mafisadi, kuwakingia kifua na kutochukua hatua zozote dhidi ya mafisadi na sisi wenyewe kuendelea kukirudisha chama cha mafisadi madarakani pamoja na kuwa hakistahili kuwepo madarakani.
 
Wakuu

Tuwajadili kwanza AU tubandike majina kwanza kama ilivyopigwa kura ya wauaji wa albinos?
 
baba_enock, tuwabandike kwanza list wafikie "walau" 50 ili tuanze kuifahamisha serikali juu ya wabaya wetu hawa
 
Malima
Kingunge na mwanae
Mremas (wa Ngurdoto, Tanroads etc)

Tena huyo serukamba nasikia mnyarwanda!! Kweli?
 
Malima
Kingunge na mwanae
Mremas (wa Ngurdoto, Tanroads etc)

Tena huyo serukamba nasikia mnyarwanda!! Kweli?
duh, list itazidi 50 muda si mrefu.

Kuna yule Vithrani lakini jina lake kwa kirefu limenishinda, can someone mention it for me?
 
baba_enock, tuwabandike kwanza list wafikie "walau" 50 ili tuanze kuifahamisha serikali juu ya wabaya wetu hawa

Here we go

Yussuf Makamba

Captain Mkuchika

Captain Chiligati

Augustino Lyatonga Mrema

Patrick Rutabanzibwa

Rugemalila aka Mzee wa Heinken (+VIP Engineering)

Hashim Lundenga (Mzee wa Miss TZ)

Reginald Mengi

Salum Bhakressa

Askofu Zacharia Kakobe

Mch Dk Mama Lwakatare

....
 
Here we go

Yussuf Makamba

Captain Mkuchika

Captain Chiligati

Augustino Lyatonga Mrema

Patrick Rutabanzibwa

Rugemalila aka Mzee wa Heinken (+VIP Engineering)

Hashim Lundenga (Mzee wa Miss TZ)

Reginald Mengi

Salum Bhakressa

Askofu Zacharia Kakobe

Mch Dk Mama Lwakatare

....
Duh,

Mi nimewaongeza:

Shailesh Vithlani
Tanil Somaiya
 
vyama vyote vya siasa vibaraka wa chama tawala!hakuna dhambi kubwa kama kuwayumbisha watu
 
Mkuu unaniitafuta ugomvi eeehh nimeweka kwenye list umewatoa eeehh



  • Dowans Zitto Kabwe
    Serukamba Peter

I am serious huyu mh amenitoka kabisa....
duh, mpaka umemwongezea jina la Dowans nyuma yake? Noma mkuu, mi nadhani tuwaongelee waliokula hela zetu na ambao walipelekea hela zetu kuliwa. Hao ni mafisadi in making mkuu wangu.

BTW, nimemwongezea "Mafia" Felix Mrema wa Arusha
 
sijui kama nimemwona LORAH MASHA hapo kwenye list! Mzee wa vitambulisho!!!
 
Alfred Tibaigana, Reginald Mengi
Hawa wamekula vipi pesa za watanzania? Yani hapa tunataka wanaoliibia taifa pesa ama wanahusika kwa namna moja ama nyingine kupelekea ufisadi mkubwa kwa Taifa.

Pia wanaoliabisha taifa kwenye anga za kimataifa kwa vitendo vichafu vya namna zozote zile.
 
ongezea
- Wauaji wa maalbino
- Madereva wa mabasi ya abiria na wamiliki wa mabasi hayo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom