50 People Who Are Screwing Up Tanzania

50 People Who Are Screwing Up Tanzania

Status
Not open for further replies.
Huyu Peter Noni alikuwa kiungo muhimu sana kwa Rostam na genge lake kupora zile Billoni 40 toka BOT; pia ni businesspartner wa Rostam!!
 
Mbona jamaa wa Usalama wa Taifa hawamo nao walikula sana hela za EPA?
 
Rostam Azziz
Edward Lowassa
Andrew Chenge
Idris Rashid,
Nazir Karamagi,
Gray Mgonja,
Basil Mramba,
Daniel Yona,
Peter Noni,
Nimrod Mkono,
Subash Patel
Benjamin William Mkapa
Yusuf Manji
Anna Mkapa
Jakaya Mrisho Kikwete
Vincent Mrisho
Frederick Sumaye
Omari Mahita
Jeetu Patel
Sir Andy Chande
Amatus Liyumba
Emmanuel Nchimbi
Shailesh Vithlani
Tanil Somaiya
Zeutamu Owner
Patrick Rutabanzibwa

Felix Mrema (Arusha)
Laurence Masha
David Mattaka
Kingunge Ngombare Mwiru
Mark Manji & Sadiki Muze (hawa wamepelekea ATCL kufikia ICU)

Tuendeleze list
Ringo Advocates
Malegesi Advocates
 
Where is J K Nyerere? because most of the names in the list are his product
 
Sasa Wakuu.
Mimi nauliza hawa tunawatendea nini baada ya kuwabaini ? hilo ndo naona la msingi
 
Baada ya Invisible kuweka kitabu cha "100 People Who Are Screwing Up America" nimekuja kugundua kuwa watu wengi walitaka tuwe na list ya walau watu 50 wanaoivuruga nchi.

Tukiweza kuweka list itapendeza kuwajua wabaya wa taifa letu (walau 50).

Tunaweza kuwataja bila uonevu?

Tiyari wafuatao walishaanza kutajwa:

  1. Rostam Azziz
  2. Edward Lowassa
  3. Andrew Chenge
  4. Idris Rashid,
  5. ........................
  6. Jakaya Mrisho Kikwete
  7. Vincent Mrisho
  8. Frederick Sumaye
  9. ..........................

  10. ............................
  11. Kingunge Ngombare Mwiru
  12. Mark Manji & Sadiki Muze (hawa wamepelekea ATCL kufikia ICU)
Tuendeleze list

Ongeza Cleopa David Msuya

Ingawa yuko kimya huyu yuko ktk waanzilishi wa ufisadi pale Mtera HEP kwa kuwatumia COGEFA wa Italia.
 
Lets RESPECT the dead,the issue is 'who ARE screwing up Tanzania'

With all due respect to the dead, he is the cause of our problems and on the list are most of, if not all, of his beloved product. No doubt.
 
Nina ungamkono kuwa jina la kwanza liwe la J Kikwete la pili RA na la tatu EL .... the rest is ....!
 
Yaani tanzania ukishakuwa kiongozi tu tena ukiwa ccm ndio balaa wewe fisadi na majina yote mabaya ukiwa chadema wewe ni mzalendo mpigania haki ya wanyonge jemedari
 
Maadui wa Tanzania,wa kwanza ni yule aliyekuwa Waziri wa Mawasiliano wakati ilipotokea ajali ya treni Dodoma. Yule Waziri,I cannot remember his name,baadaye,wakati wa kinyang'anyiro cha kugombea Urais,akajitokeza kugombea nafasi,na CCM ilivyokuwa insesitive to the feelings of the people,yule mtu hakushindwa round ya kwanza,lakini alishindwa katika round ya pili.
Ajali kama ile,Joseph Stalin angempiga risasi yule,au angempeleka Siberia au Lubianka.
 
Wakuu sioni jina la Mzindakaya, nadhani naye amekuwa upande wa pili wa kutetea ufisadi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom