50 People Who Are Screwing Up Tanzania

Status
Not open for further replies.
Hii list itakuwa haijatendewa haki kama itakamilika bila kuwepo jina la Mkurugenzi mkuu wa ATCL bwana David Mattaka. Naomba haki itendeke
 

Alioyafanya Mahita na Tiba hayana tofauti
 

  1. JAKAYA MRISHO KIKWETE
  2. Rostam Azziz
  3. Edward Lowassa
  4. Andrew Chenge
  5. Idris Rashid,
  6. Nazir Karamagi,
  7. Gray Mgonja,
  8. Basil Mramba,
  9. Daniel Yona,
  10. Peter Noni,
  11. Nimrod Mkono,
  12. Subash Patel
  13. Benjamin William Mkapa
  14. Yusuf Manji
  15. MUSTAFA MKULLO mnunuzi wa mabati ya quality group kwa bil 40 kupitia NSSF, nikikosa pension yangu nitamtoa roho
  16. MASHA
  17. NGELEJA
  18. ZITO DOWANS
  19. SUMAYE
  20. KINGUNGE (KILA GARI LINALOPAKI JIJI LA DAR LINAMLIPA YEYE huuu)
  21. MATAKA WA ATC, NIC PIA NI YEYE du
  22. LIYUMBA NAMSAMEHE KWA AJILI KAWAPA DADA ZETU VIGARI NA PILI SIAMINI KAMA HR MANAGER ANAWEZA KUCHOTA $200M BILA IDHINI YA BOARD OF DIRECTORS NA FINACE DIRECTOR
 
Last edited:

Kwi kwi kwi kwi kwi hiyo nimeikubali kwa kiwango kikubwa
 
Mavitasa aka Magufuli ili kurahisisha kazi serikali nzima ya Sultani CCM ,tume ya uchaguzi hawa ndio maadui wa wananchi ,maadui hawa wanatumika kuwasimika mafisadi.
 
Kuna yule mama aanaitwa Masasi kila numba ya gari bongo kibao lazima kitoke kwake looohhh
 
Kuna yule mama aanaitwa Masasi kila numba ya gari bongo kibao lazima kitoke kwake looohhh
Masa,

Si biashara tu mkuu? Au kuna ka-ufisadi ndani yake? Si kama ni mkataba? Au LAZIMA awe yeye tu hadi kiyama? Haikutangazwa tenda akashinda kihalali?
 

Mtumishi, Kwasababu umesha add "Watanzania weneyewe" Ni vyema ukaubadili mjadala sasa na kusema "Sababu 50" zinazo screw up Watanzania badala ya "Watu 50" Ili iweze kumake sense ni lazima ufanye mabadiliko hayo, either or will make sense,tubaki na watu 50-Watanzania wote ama tuseme watanzania wote and then tujadili sababu.
 
kwi kwi kwi...

Du kwa mtindo huuu JF mnaipeleka kule isipotakiwa kuwa!
 
...napendekeza baadaye fanya kitu kama poll hivi ili tuwapange in order of magnitude, Kingunge hawezi kukaa mbali namna hiyo, 31?
 
nimekusoma mkuu, ni kukurupuka kuandika "watanzania wote" wakati tumeanzisha mada kwa kichwa cha "watu 50". Nawaondoa watanzania kwa ujumla wao ili kuweza kuwaweka 50 wa ukweli.

Kasheshe, nia si kuchafuana, hapana. Ni vyema tukawajua maadui wa maendeleo ya taifa letu
 
Jaji Lewis Makame, Nolan, Marehemu Daudi Balali
 
Marehemu Daudi Balali
__________________
huyu ndie alietakiwa kumwongoza rostam aziz
hata jehanamu anaongoza namba moja
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…