Baada ya Invisible kuweka kitabu cha "
100 People Who Are Screwing Up America" nimekuja kugundua kuwa watu wengi walitaka tuwe na list ya walau watu 50 wanaoivuruga nchi.
Tukiweza kuweka list itapendeza kuwajua wabaya wa taifa letu (walau 50).
Tunaweza kuwataja bila uonevu?
Tiyari wafuatao walishaanza kutajwa:
- Rostam Azziz
- Edward Lowassa
- Andrew Chenge
- Idris Rashid,
- ........................
- Jakaya Mrisho Kikwete
- Vincent Mrisho
- Frederick Sumaye
- ..........................
- ............................
- Kingunge Ngombare Mwiru
- Mark Manji & Sadiki Muze (hawa wamepelekea ATCL kufikia ICU)
Tuendeleze list