50% ya Watanzania wananuka midomo!!

50% ya Watanzania wananuka midomo!!

Utafiti ulio rasmi unaonesha asilimia 50 ya wabongo tunatoa harufu kali kwenye midomo.

Source: Gazeti la Mwananchi.
My Take:
Hii inapelekea either watz hawapigi mswaki mara 2 au 3 kwa siku au dawa za meno tutumiazo hazina viwango.
Sasa ukichukuliwa watz milioni 40, nusu yake ni mil 20 ambao kuna harufu kali toka kinywani. Kwa haraka haraka, hii ina maana kati ya watu 5 basi 3 kati yao wanatoa harufu kali(ukichukulia idadi ya mil 15 ya watu wazima)

Rejao, FaizaFoxy, Mwita25, Bujibuji, Rev, Lizzy, Smile, The Boss, AfroDenzi, Invisible na wengineo mpo hapo!!
MziziMkavu toa maoni yako!!

inaonekana mwandishi wa hili gazeti alifanya reserch mkoa flani .... upo nyanda za juu ":lol: :lol: :lol:"
 
Wewe AD....,

Naona unataka kumlazimisha bubu aongee...Tulishaongea sana kuhusu mambo ya kufanya uswafi wa HQ na ilionekana wanaume hawakuwa wanajua jinsi inavyofanyika.....Walidhani kwamba huwa wanawake wanatumbukiza detergent au maji huko ndani (douching) kitu ambacho si kweli.....Naomba niishie hapo.

Ila naomba uelewe kwamba kule mahali ndio kuna highest population ya micro-frola...(micro organisms)!!
Yes, but comparatively less than in the white house!!
Naomba niishie hapa!!

hahahaahah
Haya babu mi sikubishii hata kidoncho

ila ningependa tu ku sema hapo pa red si kubaliani kabisa nawe
Jaribu tu google utaona mwenyewe kwamba chumbani ni kusafi kuliko
bafuni"mdomo" ambapo kila mara panatumika ..

Asante babu..
 
Kuwe ni miswaki ya kusafisha sehemu za siri pia badala ya kukazana na usafi wa kinywa tu. Kuna kabinti nilikachukua Arusha siku moja lakini tulipofika chumbani nikaamua kukaruhusu tu bila hata kukaDUU ingawa kalishanilia kama bia za 30,000 hivi.

Pole kwa yaliyokusibu...ila hii miswaki ya kuchambia nadhani ipo pale dukani!!
 
Sio midomo tu, ata uvinza. Kuna mijitu ikikupita hasa ndani ya daladala inatangaza uvundo. Kama uhamini we panda daladala mvua imenyesha alafu pembeni ukae na jimama lililopiga mchina huku limenyeshewa........
Utafiti ulio rasmi unaonesha asilimia 50 ya wabongo tunatoa harufu kali kwenye midomo.

Source: Gazeti la Mwananchi.
My Take:
Hii inapelekea either watz hawapigi mswaki mara 2 au 3 kwa siku au dawa za meno tutumiazo hazina viwango.
Sasa ukichukuliwa watz milioni 40, nusu yake ni mil 20 ambao kuna harufu kali toka kinywani. Kwa haraka haraka, hii ina maana kati ya watu 5 basi 3 kati yao wanatoa harufu kali(ukichukulia idadi ya mil 15 ya watu wazima)

Rejao, FaizaFoxy, Mwita25, Bujibuji, Rev, Lizzy, Smile, The Boss, AfroDenzi, Invisible na wengineo mpo hapo!!
MziziMkavu toa maoni yako!!

nina wasiwasi na dawa za meno tunazozitumia nyingi aziui vijidudu vinavysababisha kualibika kwa meno na baadae meno yaliyoaribika kutoa harufu mbaya,recommendetion from doctors ni colgate

tatizo tbs inabong'aa bong'aa tu
watz wanachakachua kila kitu mpaka madawa ya binadamu
 
okee nimekusoma mchango wangu ni huu watanzania wengi wanaamini kusafisha mdomo ni asubuhi tu basi ,mtu anakula mazagazaga yake huko siku nzima asafishi kinywa hadi asubui ifike unategemea nini mkuu?pia hatuna desturi ya kuwaona dentist mara kwa marani vema watu wawe wanasafisha kinywa marakwamara baada ya kula sio lazima uswaki kuna dawa za kusukutua tu zinaacha mdom o murua
Kwa hiyo tuwe tunatembea na miswaki na whitedent kwenye mikoba nini?
 
Dah!! Nimesahau kupiga mswaki leo nilipoamka yaani hii thread ndio imenikumbusha ngoja nikanunue Chumvi dukani nikapigie mswaki huku kwetu dawa za meno bei ghali wanauza 7000 moja.
 
hahahaahah
Haya babu mi sikubishii hata kidoncho

ila ningependa tu ku sema hapo pa red si kubaliani kabisa nawe
Jaribu tu google utaona mwenyewe kwamba chumbani ni kusafi kuliko
bafuni"mdomo" ambapo kila mara panatumika ..

Asante babu..

Hahahahahahahah AD,

Sihitaji kugoogle wala kutafuta data kwa mtu yeyote...Nimesoma hii kitu shule na nimekutana nacho sana tena kwenye majukumu yangu ya kila mara!!

Kama huamini sawa tu...Ila unaweza kutafuta data zaidi kutoka kwa wataalamu wa magonjwa ya akina mama!
 
Ningependa kusema dawa ya msuaki haitoi Bacteria wote mdomoni
wengi hutumia dawa za kusukutua , baada tu ya kupiga mswaki.
Hii insaidia sana ..... kuna scope, Listerin, macleans kuna aina nyingi sana za Mouthwash..

wao,
Okay nijuavyo mimi ni kwamba
kule chini kuna maji "yanayotoka ukeni"
Na hayo maji kazi yake ni ku tunza usafi wa sehemu hiyo.
Ila hayo maji unatakiwa kuyasafisha kila baada ya masaa kadhaa
ndio maana wana recommend kuoga at listi mara mbili kwa siku .
Harufu inatoka na hayo maji kama hayajaoshwa.
Ila mdomo umejaa bacteria kuliko kiti cha choo...

Jaribu ku google..
utapata majibu zaidi mkuu.

Google haikamati HQ za mtaani.
Yenyewe inajua za ulaya tu.
Za tz ni habari nyingine kabisa.
OTIS
 
Hahahahahahahah AD,

Sihitaji kugoogle wala kutafuta data kwa mtu yeyote...Nimesoma hii kitu shule na nimekutana nacho sana tena kwenye majukumu yangu ya kila mara!!

Kama huamini sawa tu...Ila unaweza kutafuta data zaidi kutoka kwa wataalamu wa magonjwa ya akina mama!

hahahahaha
Babu binafsi nimeenda classes nyingi sana
za wasichana/ wanawake na ninajua kabisa fika
kule chini ni tatizo tu usipozingatia huo usafi at listi mara mbili au zaidi kwa siku.

Na mdomo ni sehemu chafu kuliko sehemu yote ya mwili na bado
na simamia point yangu. Hao wa kipindi hicho labda ni usafi kidogo tu
na kubadili nguo za ndani basi......
 
Tafuteni Crest Vivid White Knight iko paired na Crest Whitening Rinse zinapatikana JD Pharmacy
 
Sikuambiwa nichangie lakin naomba kuuliza:i hiyo midomo ya watanzania milioni 20, ni nani aliyeinusa? Yeye wa kwake ulikuwa haunuki?

Baada ya kuuliza hilo, narudi zangu jukwaa la wakubwa.
 
Dah!! Nimesahau kupiga mswaki leo nilipoamka yaani hii thread ndio imenikumbusha ngoja nikanunue Chumvi dukani nikapigie mswaki huku kwetu dawa za meno bei ghali wanauza 7000 moja.[/QUOTE]

Mkuu unaishi kanda ya ziwa nini?
 
Very correct OTIS...za huku mtaani zingewekwa kwenye google nadhani NGOS zingekuwa kila nyumba!!
, Afro upo hapo???

hahahahah banaa aee..
mi za kwenye dala dala nawaachia looohhh
sababu mi natembea tu daladala sipandi lol
 
Back
Top Bottom