kibhopile
JF-Expert Member
- Aug 5, 2010
- 1,513
- 765
hiyo Research imefanyikaje?
waliwakusanya watz 5 wakawaambia 'sema haaaaaaaaa!!' wawili kati yao wakapoteza fahamu kutokana na harufu ya wenzao so wakaconclude kiivyo..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hiyo Research imefanyikaje?
Utafiti ulio rasmi unaonesha asilimia 50 ya wabongo tunatoa harufu kali kwenye midomo.
Source: Gazeti la Mwananchi.
My Take:
Hii inapelekea either watz hawapigi mswaki mara 2 au 3 kwa siku au dawa za meno tutumiazo hazina viwango.
Sasa ukichukuliwa watz milioni 40, nusu yake ni mil 20 ambao kuna harufu kali toka kinywani. Kwa haraka haraka, hii ina maana kati ya watu 5 basi 3 kati yao wanatoa harufu kali(ukichukulia idadi ya mil 15 ya watu wazima)
Rejao, FaizaFoxy, Mwita25, Bujibuji, Rev, Lizzy, Smile, The Boss, AfroDenzi, Invisible na wengineo mpo hapo!!
MziziMkavu toa maoni yako!!
Wewe AD....,
Naona unataka kumlazimisha bubu aongee...Tulishaongea sana kuhusu mambo ya kufanya uswafi wa HQ na ilionekana wanaume hawakuwa wanajua jinsi inavyofanyika.....Walidhani kwamba huwa wanawake wanatumbukiza detergent au maji huko ndani (douching) kitu ambacho si kweli.....Naomba niishie hapo.
Ila naomba uelewe kwamba kule mahali ndio kuna highest population ya micro-frola...(micro organisms)!!
Yes, but comparatively less than in the white house!!
Naomba niishie hapa!!
Kuwe ni miswaki ya kusafisha sehemu za siri pia badala ya kukazana na usafi wa kinywa tu. Kuna kabinti nilikachukua Arusha siku moja lakini tulipofika chumbani nikaamua kukaruhusu tu bila hata kukaDUU ingawa kalishanilia kama bia za 30,000 hivi.
Utafiti ulio rasmi unaonesha asilimia 50 ya wabongo tunatoa harufu kali kwenye midomo.
Source: Gazeti la Mwananchi.
My Take:
Hii inapelekea either watz hawapigi mswaki mara 2 au 3 kwa siku au dawa za meno tutumiazo hazina viwango.
Sasa ukichukuliwa watz milioni 40, nusu yake ni mil 20 ambao kuna harufu kali toka kinywani. Kwa haraka haraka, hii ina maana kati ya watu 5 basi 3 kati yao wanatoa harufu kali(ukichukulia idadi ya mil 15 ya watu wazima)
Rejao, FaizaFoxy, Mwita25, Bujibuji, Rev, Lizzy, Smile, The Boss, AfroDenzi, Invisible na wengineo mpo hapo!!
MziziMkavu toa maoni yako!!
nina wasiwasi na dawa za meno tunazozitumia nyingi aziui vijidudu vinavysababisha kualibika kwa meno na baadae meno yaliyoaribika kutoa harufu mbaya,recommendetion from doctors ni colgate
Kwa hiyo tuwe tunatembea na miswaki na whitedent kwenye mikoba nini?okee nimekusoma mchango wangu ni huu watanzania wengi wanaamini kusafisha mdomo ni asubuhi tu basi ,mtu anakula mazagazaga yake huko siku nzima asafishi kinywa hadi asubui ifike unategemea nini mkuu?pia hatuna desturi ya kuwaona dentist mara kwa marani vema watu wawe wanasafisha kinywa marakwamara baada ya kula sio lazima uswaki kuna dawa za kusukutua tu zinaacha mdom o murua
hahahaahah
Haya babu mi sikubishii hata kidoncho
ila ningependa tu ku sema hapo pa red si kubaliani kabisa nawe
Jaribu tu google utaona mwenyewe kwamba chumbani ni kusafi kuliko
bafuni"mdomo" ambapo kila mara panatumika ..
Asante babu..
wao,
Okay nijuavyo mimi ni kwamba
kule chini kuna maji "yanayotoka ukeni"
Na hayo maji kazi yake ni ku tunza usafi wa sehemu hiyo.
Ila hayo maji unatakiwa kuyasafisha kila baada ya masaa kadhaa
ndio maana wana recommend kuoga at listi mara mbili kwa siku .
Harufu inatoka na hayo maji kama hayajaoshwa.
Ila mdomo umejaa bacteria kuliko kiti cha choo...
Jaribu ku google..
utapata majibu zaidi mkuu.
Hahahahahahahah AD,
Sihitaji kugoogle wala kutafuta data kwa mtu yeyote...Nimesoma hii kitu shule na nimekutana nacho sana tena kwenye majukumu yangu ya kila mara!!
Kama huamini sawa tu...Ila unaweza kutafuta data zaidi kutoka kwa wataalamu wa magonjwa ya akina mama!
Google haikamati HQ za mtaani.
Yenyewe inajua za ulaya tu.
Za tz ni habari nyingine kabisa.
OTIS
hahahahahahahah Haya bana
Mi nakuachia hizo za mtaani kwako wewe..
Very correct OTIS...za huku mtaani zingewekwa kwenye google nadhani NGOS zingekuwa kila nyumba!!, Afro upo hapo???