500 Business Ideas (Mawazo ya Biashara 500)

500 Business Ideas (Mawazo ya Biashara 500)

Naona wengi mmeitikia; nawaomba mfanyie kazi .. isiishie hapa. Tumuunge mkono Rais wetu ili walau kufikia 2025 Tanzania iwe ya viwanda kweli. Sometimes inakera sana, eti hata gundi tunaagiza kenya, mayai, mazima, n.k wakati sehemu kwa ajili ya kufanyia kazi hizo tunazo za kutosha. Kazi zingine mtu anaweza kufanyia hata nyumbani na bado inalipa tu.

Kwa watakaohitaji vifaa-kazi wataagiza moja kwa moja Alibaba. Unalelewa hadi ulipo.
 
Mimi ujanitumia mkuu email yangu ipo hapo juu na idea nilizoomba.
 
Kwa wote mlotuma e-mail zenu; wanatumia list ya Business ideas 35 zikionesha yafuatayo:-

1. Namba ya Business idea
2. Business idea title
3. Mtaji wa kuanzia kwa US$
4. Faida inayoweza kupatikana ndani ya mwaka mmoja
5. Mtaji wa kuanzia kwa shilingi za Kitanzania ambapo exchange rate ni dola moja kwa Tshs 2,280 (Hii inaweza badilika kutokana na mabadiliko ya change.

Hii ni kwa ajili ya Watanzania wote.

Ahsante kwa kuonesha nia ya kufanya kazi na MDI
 
Attachments

Tumeongeza summary nyingine.

Download then uipitie kwa makini.
 
Attachments

Vipi umepitia hiyo list kwanza? Na ungehitaji idea gani ndo nikutumie ili uifanyie kazi? Hadi sasa kuna summary ya ideas 116, nakutumia kwa e-mail yako kwa ajili ya kukurahisishia.
Nataka low dust chalk
 
Nataka low dust chalk
iTAKUWA RAHISI UKINITAJIA NAMBA YAKE MKUU.

Business Idea For Making Low Dust Chalk US$ 2,500. Faida kwa mwaka USD 44,927

Mtaji sawa na fedha za kitanzania Tshs. 5,700,000. Ukihitaji andiko kamili tuwasiliane via e-mail.

Ahsante mkuu
 
40 na 123 mkuu ndo napendaga sana hizo.
 
Back
Top Bottom