McKobas Aok
Member
- Jun 25, 2016
- 15
- 1
Nahitaji maelezo kamili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maelezo kamili yanapatikana kwa utaratibu maalum wa kuchangia asilimia 0.5 ya Capital Investment kwa kila wazo.Nahitaji maelezo kamili
Hiyo haijafanyiwa summary ila naweza kuifuatilia na nikakupa summary yake kwa haraka haraka ...
ingefaa ukataja inahusu nini ..
I maana izo Ni dollarKwako Ngalamas ...
Project no. 244 ni Cattle Raising .. kama sikosei ...
Mtaji ni US$ 39,861
Faida kwa mwaka ni US$ 11,555
Karibu tukuhudumie.
Tusaidiane kwenye hesabu mkuu ..Asilimia 0.5 ya capital sawa na shingapi kwa shillings wengine hatupo vizuri kwenye kuchenji hizi USD
Kwahiyo tuendelee kusubili kutumiwa barua pepe??Kwa sasa jumla ya Ideas 200 zimefanyiwa summary ... tuendelee kuwasiliana kwa hajili ya hatua zinazofuata.
okay so what should I doYes; tunafanya hivyo kwa sababu dola ndo currency iliyo stable .. pia Idea hizi zinatumika kwa Africa Mashariki; so kila nchi ichukue jukumu la kuconvert ....
Sawa.nshacalculate yangu.utaratibu ukoje maana nimekutumia mpaka email hujibu kituTusaidiane kwenye hesabu mkuu ..
Mfano Business Idea yako inahitaji Capital ya US$ 1000. Hii ni sana na Tshs. (1000 x 2300) = 2,300,000/=
Asilimia 0.5 ya 2,300,000/ =
2,300,000 x 0.5 ÷ 100 = 11,500.00
Tshs. Elfu 11,500/=
Hivyo tumia kanuni hiyo kwa figure inayoonekana kwenye mradi uliouchagua.
Hii nzuri[emoji120] [emoji120]Full bookView attachment 827022
Kumbe jamaa wameiba humuFull bookView attachment 827022
Ahsante mkuuFull bookView attachment 827022