sometimesyes
JF-Expert Member
- Dec 5, 2017
- 360
- 288
Mkuu emails huzioni,mm bdo cjpt feedback chief.Tofauti iko kuwa sana ...
Moja, hilo lililoletwa hapa ni la mwaka 2010, na sasa ni mwaka 2018, kuna mangapi yamebadilika katika kipindi cha miaka 8?
Pili,
Ukiandika jambo lolote kwa lugha ya Kiingereza wanaoelewa vyema ni asilimia 27; lakini andiko likiandikwa kwa kiswahili wanaoelewa vyema ni asilimia 72. (Fuatilia tafiti zilizofanywa na Finscope Tanzania mwaka 2017 ndo utajua ni kwa nini unapaswa kuchangia ili upate kile kilicho bora)