Ras Simba bado ana nafasime,myself and i
Mimi mwenyewe, MIMI...... Hiyo Mimi unaisema huku ukipiga kifua kwa msititizo kabisa na hisia Fulani ivi kuonesha kweli mhusika ni wewe....
mimi binafsime,myself and i
watu tunavopenda hela[emoji23][emoji3]
mleta mada siunipe sadaka tu...
mimi, mimi mwenyewe na mimi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] 5000 ni mapamboKama atapewa mtu hiyo 5,000/- nipigwe ban ya mwezi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] 5000 ni mapambo
Mimi hapa, mimi mwenyewe na mimime,myself and i
Hivyo siyo sentensi ni maneno ya kingereza. Sentensi lazima ijikamilishe na ibebe mada.me,myself and i
5000 nimeshindwa kuwagawia mmepatia wengi
asanteni kwa kushiriki
tuonane shindano lijalo hahah