5000 cash ataetafsir sahihi sentensi hii toka kingereza kuja kiswahili

5000 cash ataetafsir sahihi sentensi hii toka kingereza kuja kiswahili

Hii sio sentensi. Haina sifa ya kuwa sentensi. A sentence should have two parts: a subject and a predicate. Where is a predicate here?. Otherwise ondoa tangazo lako kabla hawajifika watu wa fani zao wakakuchamba
Acha uongo wa kusoma darasani sentence ni kauli yenye zaidi ya Maneno mawili na kuendelea
 
ea9e84fbafabe17e0c6cf0a6d57bdc72.jpg

me,myself and i
 
Hivi usipotaka kusoma darasani utasomea wapi kwingin? Usilete lugha zenu za fb na insta
 
us eng hiyo ila kwenye br eng there is no any distinction between me and i
 
Back
Top Bottom