5000 cash ataetafsir sahihi sentensi hii toka kingereza kuja kiswahili

5000 cash ataetafsir sahihi sentensi hii toka kingereza kuja kiswahili

I say, nagamba, nasema........
Mimi, mwenyewe na nafsi yangu.
 
Nawakilisha mimi na mimi binafsi yangu na mimi ....
 
watu tunavopenda hela[emoji23][emoji3]
mleta mada siunipe sadaka tu...

mimi, mimi mwenyewe na mimi
 
Haiwezekani! Hizo sio sentensi bali viunganishi.
Mfano I have sitted- NImekaa.. We have sitted -TUmekaa.. So utaona I imemezwa kwenye kiswahili.
 
walojibu
mimi,mimi mwenyewe na ndimi wapo sahihi kabsa

aidha nakubaliana nanyi hayo ni maneno si sentensi

5000 nimeshindwa kuwagawia mmepatia wengi
asanteni kwa kushiriki
tuonane shindano lijalo hahah
 
Back
Top Bottom