5000 cash ataetafsir sahihi sentensi hii toka kingereza kuja kiswahili

5000 cash ataetafsir sahihi sentensi hii toka kingereza kuja kiswahili

Hii sio sentensi. Haina sifa ya kuwa sentensi. A sentence should have two parts: a subject and a predicate. Where is a predicate here?. Otherwise ondoa tangazo lako kabla hawajifika watu wa fani zao wakakuchamba
Tena atachambwa wima!
 
Ok... mkimaliza hiyo naomba msaada na mimi, mniambie wingi wa sentensi hii... "Rais wa Tanzania ana mke"...
 
Back
Top Bottom