BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,810
- 5,773
Acha uongo wa kusoma darasani sentence ni kauli yenye zaidi ya Maneno mawili na kuendeleaHii sio sentensi. Haina sifa ya kuwa sentensi. A sentence should have two parts: a subject and a predicate. Where is a predicate here?. Otherwise ondoa tangazo lako kabla hawajifika watu wa fani zao wakakuchamba
Hakuna sentensi kama hiyo kwenye lugha inayojitosheleza.me,myself and i
hakuna neno "mie" kwenye kiswahiliMie, nafsi yangu na mimi.
Mimi, mwenyewe nami.me,myself and i
Ndimi ni wingi wa ulimiMimi, mimi mwenyewe na ndimi.
We nawe!Ndimi ni wingi wa ulimi
Haahahahaa
Swahili iko gumi[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]