Ninakumbuka miaka ya nyuma sana, mwalimu Julius Nyerere alisema Kenya ni " man eat man society ", akimaanisha kwamba wakenya wanaishi kama Wanyama wa porini, kila anayepata nafasi anajichukulia kadri awezavyo kwa ajili yake na familia yake, hakuna anayemjali mtu mwengine.
Nchi ambayo inatumia zaidi ya nusu ya makusanyo yake ya mwezi, kwa ajili ya kulipa mishahara kwa watumishi ambao ni 1.5% ya wananchi wote, hii maana yake 48% ndio inabaki kwa ajili ya kuhudumia watu 45M.
Kwamba haya ndio matunda ya katiba mpya, kutengeneza vyeo vingi huko ktk " county level ili "wage bill iwe kubwa". Sasa katika hali hii mtaweza vipi kujenga miradi mikubwa kwa pesa yenu?, vipi mtaweza kuendesha nchi bila kukopa kwa wachina?.