5G vs Starlink

5G vs Starlink

DexterLab

Senior Member
Joined
Oct 17, 2024
Posts
161
Reaction score
193
Salamu, katika pitapita zangu za hapa na pale mitandaoni nimetumia muda kidogo kulinganisha teknolojia hizo mbili hapo juu.

Na matokeo yake nikagundua 5G ipo juu zaidi ya starlink kwa karibu Kila eneo speed, latency etc

Kwa Nini tusiwape muda Hawa watoa huduma wetu kuwekeza 5G Yao iwepo kila mahali hapa nchini? Sababu Kwa Dunia ya Sasa hivi inahitaji internet yenye Kasi na 5G ipo vizuri kwenye Hilo?

Screenshot_20241115-142009_Internet.jpg
 
Sent using my Iphone 16 pro max
5G akiwa pekeake bei inakuwa juu kwasababu hana mshindani ila starlink akiingia kati lazima ujishushe ili kupata wateja
 
Sasa mleta mada,kabla hujaongelea hili,umejiuliza wenye uwezo wa kumiliki simu zinazoweza kushika 5G? Au umeandika tu! Af,mfano,japo hayo maendeleo hatuyakatai. Ukiachana na ushabiki, 5G itakusaidia kitu gani wewe,ambacho kwako 4G haifanyi?
Kwa vile tu hukuwepo. Ningekuuliza miaka ya 2005 kuendelea,Internet ilikuwaje,ilitoa msaada gani,mpaka sasa!
Ila asilimia kubwa itawasaidia kushusha picha wanazozipenda wenyewe.
 
Kwa Nini tusiwape muda Hawa watoa huduma wetu kuwekeza 5G Yao iwepo kila mahali hapa nchini? Sababu Kwa Dunia ya Sasa hivi inahitaji internet yenye Kasi na 5G ipo vizuri kwenye Hilo?
Yaani kbs unaamini jamaa wa Starlink wameshindwa kufikia hiyo speed?, aisee hawa wa sasa hawafai kbs kuwa entertain, hayo mabei wanayotupiga na hiyo speed ya net ya 3G NA 4G hayaleti matumaini ikiwa wata deploy 5G, acha tujaribu kwa huyu Starlink na huenda ushindani huu utafanya waje na bei za kizalendo!
 
Bila shaka sio swala la speed tu bali hata bei na upatikanaji wa mtandao.Ni vema kua na watoa huduma wengi kuchangamsha soko kwan n faida kwa mtumiaji wa mwisho kwa upande mwngine kuna tume ya ushindani itakayo regulate huo ushindan baina yao
 
Salamu, katika pitapita zangu za hapa na pale mitandaoni nimetumia muda kidogo kulinganisha teknolojia hizo mbili hapo juu.

Na matokeo yake nikagundua 5G ipo juu zaidi ya starlink kwa karibu Kila eneo speed, latency etc

Kwa Nini tusiwape muda Hawa watoa huduma wetu kuwekeza 5G Yao iwepo kila mahali hapa nchini? Sababu Kwa Dunia ya Sasa hivi inahitaji internet yenye Kasi na 5G ipo vizuri kwenye Hilo?

Sent using my Iphone 16 pro max
Tunataka Mtandao ulio Huru usioweza Kuwa na Makando kando Kutoka Third part yoyote
 
Salamu, katika pitapita zangu za hapa na pale mitandaoni nimetumia muda kidogo kulinganisha teknolojia hizo mbili hapo juu.

Na matokeo yake nikagundua 5G ipo juu zaidi ya starlink kwa karibu Kila eneo speed, latency etc

Kwa Nini tusiwape muda Hawa watoa huduma wetu kuwekeza 5G Yao iwepo kila mahali hapa nchini? Sababu Kwa Dunia ya Sasa hivi inahitaji internet yenye Kasi na 5G ipo vizuri kwenye Hilo?

Sent using my Iphone 16 pro max
Kwanza starlink imelenga zaidi remote areas ambapo kwa africa kwa kweli haijalishi uko mjini bado internet ni kitendawili.
Mimi nimefunga fiber ya tigo 3 months ago, this week imekuwa ni shida tupu speed imedrop to the extend kwamba toka jana jioni nahangaika kudowload file ya mb 77 tu na mpaka sasa haijamaliza...
Tusiende mbali mkuu, wewe ni lini umepata full utilization ya 4g tu kutoka kwa mtandao wowote. Mind you 4g inaweza kukupatia download speed hadi 150 mbs.
 
Salamu, katika pitapita zangu za hapa na pale mitandaoni nimetumia muda kidogo kulinganisha teknolojia hizo mbili hapo juu.

Na matokeo yake nikagundua 5G ipo juu zaidi ya starlink kwa karibu Kila eneo speed, latency etc

Kwa Nini tusiwape muda Hawa watoa huduma wetu kuwekeza 5G Yao iwepo kila mahali hapa nchini? Sababu Kwa Dunia ya Sasa hivi inahitaji internet yenye Kasi na 5G ipo vizuri kwenye Hilo?

Sent using my Iphone 16 pro max
Huduma Yoyote Ikiwa na Mshindani Inakuwa Bora Huduma za Mitandao yetu ni Hovyo kwa kuwa hwana mshindani wao..

Hiyo 3G nA 4G yenyewe Imewashinda kusambaa leo unataka wasambaze 5G labda Miaka 30 Ijayo
 
Bila shaka sio swala la speed tu bali hata bei na upatikanaji wa mtandao.Ni vema kua na watoa huduma wengi kuchangamsha soko kwan n faida kwa mtumiaji wa mwisho kwa upande mwngine kuna tume ya ushindani itakayo regulate huo ushindan baina yao
Umeandika kwa niaba yang asante
 
Watoa huduma waliopo pamoja na kuwepo kwa miaka mingi hapa bongo wakijigawia keki wapendavyo bado kuna maeneo mengi tuu hata kupiga simu ni mtihani achilia mbali enternet, starlink itakuja kuondoa jeuri yao na wizi wao
 
Salamu, katika pitapita zangu za hapa na pale mitandaoni nimetumia muda kidogo kulinganisha teknolojia hizo mbili hapo juu.

Na matokeo yake nikagundua 5G ipo juu zaidi ya starlink kwa karibu Kila eneo speed, latency etc

Kwa Nini tusiwape muda Hawa watoa huduma wetu kuwekeza 5G Yao iwepo kila mahali hapa nchini? Sababu Kwa Dunia ya Sasa hivi inahitaji internet yenye Kasi na 5G ipo vizuri kwenye Hilo?

Sent using my Iphone 16 pro max
Inawezekana wewe ni Mjinga ama ni Mpumbavu,nothing more nothing less
Facts:-kuhusu mitandao ya simu*
1.Mitandao ya simu ina miaka zaidi ya 20 imeshindwa kufikisha 3G tu,vijijini itakua hio 5G,Ok tuwape miaka 50 na ngapi
2.Mitandao ya simu inatoza GB 1=2100/=,hivi si ni mpumbavu pekee atafurahia huu usengerema
3.mitandao ya simu inaweza zimwa na wanasiasa,kumbuka Kuna watu wnaafanya aggressive business online,hawaitaji network breakdown
Facts kuhusu Starlink
1.GB 50=elfu 30,yaani 1G=600Tsh,ni mpumbavu kama wewe ndio utakataa hii faida
2.unaweza access 10MBPS hata ukiwa maporini ambapo mitandao uchwara haifiki
3.ukilipia mfano hio GB 50,unaweza unganisha devices zaidi ya 200
4.wanasiasa wapenda madaraka hawawezi kukata network
Je wewe ni mjinga ama ni mpumbavu?
 
5G network ipo supply by tower kwa hiyo itakua inashika baadhi ya maeneo tofauti na Starlink anategemea satellite popote pale inashika through devices zao
Starlink itawanufaisha wa vijijini TU tatizo tunafata mkumbo. Vijijini Kwa vile minara haijafika sana wao wanahuitaji mkubwa wa starling ila sisi wa mijini hatuna shida mbona?
 
Sasa mleta mada,kabla hujaongelea hili,umejiuliza wenye uwezo wa kumiliki simu zinazoweza kushika 5G? Au umeandika tu! Af,mfano,japo hayo maendeleo hatuyakatai. Ukiachana na ushabiki, 5G itakusaidia kitu gani wewe,ambacho kwako 4G haifanyi?
Kwa vile tu hukuwepo. Ningekuuliza miaka ya 2005 kuendelea,Internet ilikuwaje,ilitoa msaada gani,mpaka sasa!
Ila asilimia kubwa itawasaidia kushusha picha wanazozipenda wenyewe.
Kwa kujibu swali lako, 5g itanisaidia Kasi. Alafu mbona simu za 5G zipo hata za midrange zimejaa pale kariakoo. Hata starlink itahitaji simu ya smart ili kujiunga. Samsung a50s zipo za 5g kibao TU.
 
Back
Top Bottom